Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilazima wajichanganye kwenye hayo makempu ili at least wapate chakula. Yaani Mikenya inakwenda kwenye misiba kwenda kula na kulalama eti wamewekewa chakula or nyama kidogo!
Na huo msiba Kenya unaweza kuta wamepika basi ni wa tajiri mkubwa sana au mwanasiasa sababu misiba yao huwa hakuna kula kabisa wakati Tanzania chakula ni kuanzia msiba umeanza mpaka siku mnazika hata iwe wiki nzima mtakula mchana na usiku
 
Mimi kwa kawaida yangu mwanaume mwenyewe tabia za kufuatilia udaku news za celebrities huwa namuona kama shoga na kwavile Mimi sio mmoja wao hua najiepusha. Sikua na expectations kubwa kwako lakini hatahivyo nimekudharau sana
Yani niache kufuatilia entertainment eti kwasababu wewe utahisi mimi ni shoga.? Choko kweli wewe. Nenda ukaguswe huko Mombasa, si ndio michezo yenu kwa mashoga huko.
 
Mimi kwa kawaida yangu mwanaume mwenyewe tabia za kufuatilia udaku news za celebrities huwa namuona kama shoga na kwavile Mimi sio mmoja wao hua najiepusha. Sikua na expectations kubwa kwako lakini hatahivyo nimekudharau sana
Siku Hz nguvu zimekuisha kabisa, umebaki huna content zaidi ya mipasho, nilikuambia utapoa kama maji ya mtungini, ulikuja na moto na vipicha vyako vya Mombasa tukakuonesha majumba ya udongo ukabadili Nairobi tukakuonesha ma slums kila area, ukaja na Karen tukakuonesha vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁
 
Deport shida ipo wapi ni toka 2000s mna kelele hiyo.

Deport.

Kwamba kuna mtanzania anayepata documents aje kuomba omba huko?
😂😂😂
And you believe beggars need documentation? I give up
 
Na huo msiba Kenya unaweza kuta wamepika basi ni wa tajiri mkubwa sana au mwanasiasa sababu misiba yao huwa hakuna kula kabisa wakati Tanzania chakula ni kuanzia msiba umeanza mpaka siku mnazika hata iwe wiki nzima mtakula mchana na usiku
Hivi ni kwnn wakenya wanaipa priority kubwa food 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na huo msiba Kenya unaweza kuta wamepika basi ni wa tajiri mkubwa sana au mwanasiasa sababu misiba yao huwa hakuna kula kabisa wakati Tanzania chakula ni kuanzia msiba umeanza mpaka siku mnazika hata iwe wiki nzima mtakula mchana na usiku
yAANI KAMA SISI WACHANGA NI BEA DAILY PIA!
 
Kwahio zile G7 Marcopolo ilikuwa uchawa au? Chinese buses experience ya BRT 1 haijawapa somo?
10%...

Labda yanakuja design tofauti. Tatizo sio wawazi sana. Sijui wanaficha ficha nini. Uwazi ni tatizo kubwa sana kwa mambo ya serikali. Hapo hata hawajatuonyesha bus likoje nje ndani, wataleta mangapi. Nk
 
Anderson project Kisumu taking shape. 13 blocks 15 floors each. That's More high-rise density than Mwanza & Arusha combined.
IMG_1036.jpeg

IMG_1034.jpeg

IMG_1033.jpeg

20240901_030414.jpg
 
Attachments

  • 20240901_030414.jpg
    20240901_030414.jpg
    113.8 KB · Views: 38
  • 20240901_030414.jpg
    20240901_030414.jpg
    113.8 KB · Views: 29
Hadi NTV, KTN, citizen😂😂..hadi tour companies
Mbona vyote Tanzania has similar and bigger companies?
Kweli mmeishiwa.
Bigger companies kitu gani na Sponsor mkuu wa Ligi yenu Tanzania ni Sportpesa, Kampuni ya Mkenya 😂😂. Nyinyi Kampuni zenu zote zinamilikiwa na Waarabu, Azam ni ya Muarabu na Citizen TV ni ya Mkenya SK.Macharia.
Hamuwezi shindana na Wakenya Kwa biashara my friend. You own nothing.
tzsportpesa-post-2022-07-27-14-33-4-871221659013954.jpg
 
Back
Top Bottom