Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe elewa kwamba deadline ni 2030.

Kama mlishindwa kumaliza km 300 Kwa miaka 6 hapo unashangaa nini?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kazi imekua ngumu na mikopo imekopwa kisawasawa na kazi hazionekani alaf tunatumia nguvu kubwq kuaminisha watanzania kupitia wasanii wote kua anakubalika
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kazi imekua ngumu na mikopo imekopwa kisawasawa na kazi hazionekani alaf tunatumia nguvu kubwq kuaminisha watanzania kupitia wasanii wote kua anakubalika
Hakubaliki Wala Bali anakubalika bibi yako.

Mwisho kama kazi ni nyepesi Kwa nini mlishindwa kuzindua Sgr 2019? Kwani hamkukopa?
 
Hakubaliki Wala Bali anakubalika bibi yako.

Mwisho kama kazi ni nyepesi Kwa nini mlishindwa kuzindua Sgr 2019? Kwani hamkukopa?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

yani mtu anateuliwa tu bila wajumbe kupiga kura hii sijawah ona kwakweli waliogopa mambo ya kupiga kura wakijua ataangukia pua kwasababu hujui nani kasema yes or no
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

yani mtu anateuliwa tu bila wajumbe kupiga kura hii sijawah ona kwakweli waliogopa mambo ya kupiga kura wakijua ataangukia pua
Ndio hivyo kateuliwa na imewakata.Unune ,ucheke pini 📍📍📍📍

Tafuta faraja nyingine sawa suku gang 😆😆

Si mlikuwanadanganywa na kujichekesha humu jukwaani na yule Jamaa yenu aliyewaokota 😁😁

Wapi treni mlizindua 2019? Unahamisha magoli 😆😆😆👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1882499948018843840?t=_Hj4eExKJhwiLKZ5JdoN4Q&s=19
 
render vs reality 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
IMG_3260.jpeg

IMG_3259.jpeg
 
Ndio hivyo kateuliwa na imewakata.Unune ,ucheke pini 📍📍📍📍

Tafuta faraja nyingine sawa suku gang 😆😆

Si mlikuwanadanganywa na kujichekesha humu jukwaani na yule Jamaa yenu aliyewaokota 😁😁

Wapi treni mlizindua 2019? Unahamisha magoli 😆😆😆👇👇

View: https://x.com/Jambotv_/status/1882499948018843840?t=_Hj4eExKJhwiLKZ5JdoN4Q&s=19

kama anapendwa kweli wangepiga kura ukaona balaa 😂😂😂😂😂

watu wanacheka usoni ila moyoni ni vile tu pesa ni adui wa haki na watu wamekula pesa kisawasawa, kila mjumbe katoka na pesa za kutosha

ukiona unasifiwa sana shtuka 😂😂
 
Back
Top Bottom