Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe Myemen huoni aibu kupost habari za uongo? That guy is known for lying and posting false information on X. Just to make things simple, Ebu tuonyeshe penye National media posted that picture that huyo is sharing on X.
Sasa unatulaumu sisi au unamlaumu mkenya mwenzako? 🤣 🤣 🤣 🤣 Prove kuwa hiyo taarifa yake ni ya uongo.
 
Tanzanian population is living in slum is 44%. That Twitter handler just left Tanzania out of that list intentionally because Tanzania is insignificant to him/her.
Source yako ni kutoka kwa Mama Ngina? Mwenzako kwenye x.com amesema source yake ni kutoka United Nations Human Settlements Programme ( UN-HABITAT )
 
Source yako ni kutoka kwa Mama Ngina? Mwenzako kwenye x.com amesema source yake ni kutoka United Nations Human Settlements Programme ( UN-HABITAT )
I don’t have time to waste on gays.

IMG_1081.png
 
Azam anapoteza pesa zake bure na hazitorudi, ligi dhaifu, fujo kama ndondo cup, corruption kila kona, viwanja vibovu na hakuna jitihada zozote. Azam anatoa pesa za kutosha lkn wachezaji wanalia njaa kila siku.
Wala hapotezi, anauza vingamuzi pia kupitia channels zake anatangaza matangazo ya bidhaa zake.
Marketing.
 
Back
Top Bottom