Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maisha huko ni magumu balaa yani hadi raia wa kawaida wanapenya kwenye kambi za wakimbizi ili kupata maisha safi (kimsingi ni maisha chafu ya kambini kwa wakimbizi) 😂😂😂 life in Kenya is very hard.
Nilazima wajichanganye kwenye hayo makempu ili at least wapate chakula. Yaani Mikenya inakwenda kwenye misiba kwenda kula na kulalama eti wamewekewa chakula or nyama kidogo!
 
Ghetto unarefer stadium ama unasema nini? Why don’t you get out of your country’s lingo when addressing an international audience, is it that hard?
You can watch the video as you practice

View: https://youtu.be/NtKbCXuUMrQ?si=G0DZNvT9EkI__My7

I see kwa kuflash Ubongo mko poa,
Wazee wa kujisifia baada ya kupata kastadium kwa kudra za CAF. Can't you get belittling?

Au ndo kukomaza fuvu?
 
Ombaomba waliotapakaa Kenya nzima ni watanzania. That one has been documented over and over again and evidence has been posted on this thread a million times. Sema tu unajifariji na kujitoa ufahamu
Deport shida ipo wapi ni toka 2000s mna kelele hiyo.

Deport.

Kwamba kuna mtanzania anayepata documents aje kuomba omba huko?
😂😂😂
 
Waulize tu, wabunge wao si walianzisha operation ya kufukuza beggars? Iliishia wapi? Je, zaidi ya 30% ya wakenya waliojoandikisha kule kakuma refugees camp ni watanzania? Hawa watu ni mazombie kweli kweli.
Masenge sana na anakwambia ni Documented 😂😂😂.

Kwamba omba omba wote hao walienda uhamiaji kupewa passport kama barua ya serikali za mtaa na wakaenda Nairobi kuchukua Vibali vya kuomba omba 😂😂😂😂😂

Aibu hii.

Wadeport
 
Maisha huko ni magumu balaa yani hadi raia wa kawaida wanapenya kwenye kambi za wakimbizi ili kupata maisha safi (kimsingi ni maisha chafu ya kambini kwa wakimbizi) 😂😂😂 life in Kenya is very hard.
Kila siku roli likianguka wapo wanaokota vitu, kuandamana maisha magumu, Ruto kampeni aliwagawia Chapati, Omondi aliandamana Unga, waliwekewa Ruzuku ya unga imagine na bado wanakaza fuvu eti wao si masikini.

Wapumbavu sana, kwa miaka 20 wanasema omba omba ni watanzania kuondoa hawawezi.
 
I thought mko na land kubwa sana tz
How comes mnauziwa maplot 30 by 60!!!!
Hiii ni upuzi kwa nchi kubwa Ivo.

Ilifaa kuwa 100 by 200.
Unataka mtu wa kawaida anunue likiwanja likubwa ili apande mboga mboga au.? In the middle of the city.?

Viwanja vikubwa wanauziwa watu wanaoweza kuwekeza au wale wenye pesa mingi ili wajenge wawezavyo wao. Ambapo indeed hizo erea za kuuzwa viwanja vikubwa zipo in Dodoma, for instance google Njedengwa investment erea.
 
Unataka mtu wa kawaida anunue likiwanja likubwa ili apande mboga mboga au.? In the middle of the city.?

Viwanja vikubwa wanauziwa watu wanaoweza kuwekeza au wale wenye pesa mingi ili wajenge wawezavyo wao. Ambapo indeed hizo erea za kuuzwa viwanja vikubwa zipo in Dodoma, for instance google Njedengwa investment erea.
Muulize Nairobi nzima viwanja ni low density?
 
This past weekend, Starlink users in Africa began experiencing latency at around 30 milliseconds—a drastic improvement from the 100ms to 200ms they had to endure before. But this wasn't due to new satellites entering Earth's orbit, which is how SpaceX typically upgrades Starlink. Instead, the company has begun routing users in Africa to a dedicated ground facility in Nairobi, Kenya, called a “point of presence,” where the space-based Starlink network connects to terrestrial internet infrastructure.


FB_IMG_1737565608930.jpg


Kenya is just too important
 
Diamond platnumz kaongeza Mercedes Benz mbili mpya kwenye convoy yake. Sahii anakua Cadillac Escalade 2, Rolls Royce 1, Bentley 1, na Mercedes Benz 2. Kwahiyo anakua na jumla ya gari 6 za mpunga mrefu👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DFICuRYNfw1/?igsh=ems3MHIxaDQ4MXh5.. Apo achana na V8 2, Prado TX 1 na BMW Ambazo zinafanya mchizi awe na mikwaju ya mana 10.

Mimi kwa kawaida yangu mwanaume mwenyewe tabia za kufuatilia udaku news za celebrities huwa namuona kama shoga na kwavile Mimi sio mmoja wao hua najiepusha. Sikua na expectations kubwa kwako lakini hatahivyo nimekudharau sana
 
Back
Top Bottom