ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
deadline gani ni 2030 hakuna deadline ya 2030 kila mradi ulikua na 3 yearsMradi utaisha kwani shida Iko wapi? Deadline ni 2030.
Lazima kazi ianze kwingine na sio lazima iwe funded na Serikali directly Kuna PPP.
wakat mwengine punguza ujuaji ππ