Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na azam tv imewatandika kweli kweli mm nina czn kisumu imagine kisumu na ana azam tv 😂😂😂😂 na aniambia inafanya vzr sana azam na watu wanaipenda sana
Underline the word cousin, so you expected mwenye anajiita mtanzania akose decoder ya mwarabu anaishi Tanzania?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂

unaumia azam tv kufanya vzr kenya na anasifika kweli kweli kila mkenya anafurahi na anaipenda azam tv
Ati kufanya vizuri Kenya? With a total decoder sales of less than 100? Ingekuwa kila Mkenya anapenda Azam their fb page haingekuwa na like tatu na zero comments in the posts they make there.
 
hatusemi kazi kuendelea swali je ishakamilika kuna vipande viwili vya reli vinajengwa kwa misukosuko na hatujui kama kazi inaendelea kweli 😂😂😂😂

maliza mradi weka usimamizi ambao hautahujumiwa na wachache kama
sasa mambo yanavoendelea alaf fikiria kujenga nyingine 😂😂😂😂
Mradi utaisha kwani shida Iko wapi? Deadline ni 2030.

Lazima kazi ianze kwingine na sio lazima iwe funded na Serikali directly Kuna PPP.
 
Back
Top Bottom