Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nipeni series kali kama hii asee duhh full burudani huu mzigo nilicheki mwaka jana
Screenshot_20241111-103600.jpg
Screenshot_20241111-103539.jpg

Hizo apo masta
 
Uwezekano upo ndio mkuu tumia torrent uwe na search engine yake ni pirates bays uwe na network strong kama zile za fiber ukitumia hizi network za haloteli na voda umeisha speed ndogo wiki hizi TZ network ni takataka
Airtel mbps 10 vipi speed yake kaka,inaweza kupiga dk ngapi kudownload 2gb?
 
Si haba,soon nitakua mtu wa kutulia home kwa miezi 2,hii itanifaa,ila nahofia ninapoishi ni nje ya mji,now natumia voda kasi internet kifurushi cha elfu 50 kwa mwezi,ni kituko hata netflix kwenye tv akifungui
Voda supa kasi wezi sana hao Airtel wanapiga kazi hadi nje ya mji mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom