Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,985
- 27,994
Hasira zako peleka Yemen. That stadium is fully owned by Kenya whether you like it or not.chinnese ownes stadium hakuna pesa ya mkenya hata centi hapo😂😂😂😂
Hasira zako peleka Yemen. That stadium is fully owned by Kenya whether you like it or not.chinnese ownes stadium hakuna pesa ya mkenya hata centi hapo😂😂😂😂
What you own ni madeni kwa sasa. Malizeni kulipa kwanza na kingereza chako cha mitani.Hasira zako peleka Yemen. That stadium is fully owned by Kenya whether you like it or not.
Nenda google uangalie maana ya the word PROPRIETOR Alafu rudi.chinnese ownes stadium hakuna pesa ya mkenya hata centi hapo😂😂😂😂
Wewe hujui anything nyamaza.What you own ni madeni kwa sasa. Malizeni kulipa kwanza na kingereza chako cha mitani.
Just imagine kaka wanavyojiita East Capital,kumbe more than a half wanaishi kwenye slums nchi nzima,aibu sana!Tukiwaambia no slums in Tanzania wanaleta unplanned settlement, kitu wasichojua au huenda wanajua ila wanajifanya wehu ni kwamba, ni rahisi kumaliza unplanned settlement kama ambavyo tumekwishaanza but ni ngumu kumaliza slums cz slums ni umaskini uliopitiliza.
Na vile wanaringa na kiingereza nyingi kumbe ikifika jioni wanaenda kulala kwenye mabanda ya nguruwe🤣🤣Kwamba Wakenya zaidi ya nusu wanaishi Kibera and the likes? Hii list ni biased,itakuwa katengeneza Mtanzania maanake Tanzania haipo na Dar nzima tunaambiwa ni slum!
U fruit, at numero uno of the most watched Netflix series in Ukunyan is YFA
View: https://x.com/Rydx_017/status/1882004756455141741
View: https://x.com/Rydx_017/status/1882004792907902983
View: https://x.com/Rydx_017/status/1882011345547309167
Why are you guys arguing with a tweet? Wacheni wajinga wajifurahishe.That’s not UN-Habitat. Kama ni ya UN-Habitat Ebu basi Tulete hiyo report direct from UN-Habitat.
budda haijalishi imezima hata mara mia mbili sisi tunachojua tuna treni ya umeme ist an sentro africaaaMtu hawezi fahamu kwamba kitu kimezima zaidi ya 20 times 😂😂😂
Toka Kibera huko na wewe upande train ya umeme. Halafu Mungu fundi mara zote ambazo nyie wachawi mmepanda chuma kimewakomesha kwa kwenda smoothly. Kelele zote train za umeme unaishia kuona kwenye TV.Mtu hawezi fahamu kwamba kitu kimezima zaidi ya 20 times 😂😂😂
Treni ya umeme ushuzi wa bata 😂😂😂budda haijalishi imezima hata mara mia mbili sisi tunachojua tuna treni ya umeme ist an sentro africaaa
haya tunyeshe treni yenu ya ummeme 🙄🙄
Sasa hivi zimelala pale Pugu na Dodoma. Kesho saa 0500 vyuma vinaanza kufyonza umeme huku vinasogea kwa 160+kph.Mtu hawezi fahamu kwamba kitu kimezima zaidi ya 20 times 😂😂😂
You need to start with parts of speech first.Wewe hujui anything nyamaza.
Usinililie mimi, kitu lazima kipewe mwarabu 😂😂🤣Sasa hivi zimelala pale Pugu na Dodoma. Kesho saa 0500 vyuma vinaanza kufyonza umeme huku vinasogea kwa 160+kph.
Wewe kesho ukiamka vua nguo inama ukinuia zizimike njiani. Ndio faraja uliobaku nayo maana jiko la kuni huwezi kulibadili kuwa la umeme.
Aisee kumbe nyie wote ni majunya!Usinililie mimi, kitu lazima kipewe mwarabu 😂😂🤣