Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alifungua nani na baada ya nani kukamilisha ujenzi?

Usitusumbue,hakuna kitu Mwendazake alikamilisha Kwa miaka yake 5.5

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1817558841568932110?t=0_swK51VCsAbVlVGGLi2qQ&s=19
View attachment 3144923

Sio kweli, miradi mingi tu wakati wa magufuli ilikamilika hapa nitakutajia kwa uchache
  • Miradi ya barabara kuunganisha mikoa
  • ujenzi wa barabara za kawaida, na upgrading
  • Stand za mikoa
  • masoko
  • Madaraja
  • Ujenzi wa hospital
  • Ujenzi wa vyuo/shule
  • miradi ya maji
  • miradi ya umeme
  • viwanja vya ndege
Kwa uchache ni hayo, sitegemi ubishe sababu huenda ukawa hujui so nategemea uniulize mifano ya sehemu ya hiyo miradi ilipokamilika kwa wakati huo
 
Kama viwanja vipi hivyo vya ndege?

Miradi ya umeme ipi?

Ujenzi wa Barabara zaidi ya Dom,Dar na Tabora-Mpanda hakuna zingine

Mwisho tumiradi twingine ni kuokoteza okoteza tuu ilimradi ujazie nyama maana sekta zingine hazikuwa kipaombele chake sana tofauti na Sgr,ndege,kuhamia Dom,bwawa.
 
View: https://x.com/afristats_polls/status/1854155296056180994

Maana kuan wapuuzi watajifanya hawajaona.
1730905932800.png
 
Tukae humo kwenye Manifesto ya CCM, Hakuna anayefanya mwenyewe au anaeyeamua kushika hiki na kuacha kile pasina nguvu ya kuamua kwa pamoja iwe kwa maslahi mapana ya chama ama Taifa kwa ujumla wake
 
Kama viwanja vipi hivyo vya ndege?

Miradi ya umeme ipi?

Ujenzi wa Barabara zaidi ya Dom,Dar na Tabora-Mpanda hakuna zingine

Mwisho tumiradi twingine ni kuokoteza okoteza tuu ilimradi ujazie nyama maana sekta zingine hazikuwa kipaombele chake sana tofauti na Sgr,ndege,kuhamia Dom,bwawa.
Ya Malawi kutotumia bandari yetu basi tena? Usipende kuandika vitu hufahamu

Anyway, uwanja wa ndege ni geita airport, na pia terminal 3

Mradi wa umeme mfano ni kinyerezi I and 2

Ujenzi wa barabara zaidi ya dar dom, tabora mpanda hakuna zingine? But unajua mm Wala nisingejadili hili, ulisema hakuna kilichokamilika sasa hivi hapa unasound tofauti

Mingine miradi ya kuokoteza? How? Mfano mradi wa maji tabora wa bilion 700 kutoka lake Victoria ni mradi wa kuokoteza?

Madaraja makubwa kigamboni, kilombero ni miradi ya kuokoteza?

Huwa una bahati ya kujadiliana na watu wasiojua chochote na wewe pia hujui lolote so ndio maana unaandika unachojisikia
 
Sio kweli, miradi mingi tu wakati wa magufuli ilikamilika hapa nitakutajia kwa uchache
  • Miradi ya barabara kuunganisha mikoa
  • ujenzi wa barabara za kawaida, na upgrading
  • Stand za mikoa
  • masoko
  • Madaraja
  • Ujenzi wa hospital
  • Ujenzi wa vyuo/shule
  • miradi ya maji
  • miradi ya umeme
  • viwanja vya ndege
Kwa uchache ni hayo, sitegemi ubishe sababu huenda ukawa hujui so nategemea uniulize mifano ya sehemu ya hiyo miradi ilipokamilika kwa wakati huo
Nipe mradi mmoja wa chuo ulioanzishwa na ulikamilika kipindi cha jiwe!
 
MUHAS - mloganzila
Pia vyuo vya Kati

Huu ubishani wenu hauna maana hamtumii akili, common sense tu haiwezekani miradi kadhaa isiwe imekamilika kuanzia ya shule, hospital, barabara, maji n.k.

Hata raisi awe mzembe vipi lazima kuna miradi itakamilika. Hata wewe ukiwa raisi leo hii lazima Kuna miradi utaikuta itakamilika na ipo utaanzisha utaweza kuikamilisha.
 
Back
Top Bottom