Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,121
- 16,522
🥰🥰
🥰🥰
apost no one kamkataza, btw 🤣 🤣 🤣 wanasemaga wana fridomu ovu spichiNa yeye apost mauaji ya oct 29?
Yes they have, huku bongo unaweza mwambia mama samia hana akili?apost no one kamkataza, btw 🤣 🤣 🤣 wanasemaga wana fridomu ovu spichi
imagine if you did this for m7, You could be having oil for free probably
View: https://x.com/ASuruni/status/2106365878744859135?s=20
Hakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwiliBila service apa hatutoboi
View attachment 3683946
Then ukishasema?? ndo Democracy hio? Cant you air your opinions bila matusi? au ndo ukishasema ivo unajiona sasa una akili kushinda kila mtu?Yes they have, huku bongo unaweza mwambia mama samia hana akili?
It's possible in kenya
Huku Mama Samia ni Half God anaimbwa na kila mja
You know this shows how you are obsessed with Kenya that you spend 24hours a day surfing the internet digging deep about everything Kenya . You don’t see us doing the same since your country is insigficant and unimportant to us. We only here for entertainment but you really do take this very seriously . You must feel inferior to us . It hurts, doesn’t it? 🤣🤣…I bet you add 50% to the stats that Kenya is the most googled nation in Tanzania… keep it up .. it proves we really intimÃdate you .. tunacheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ofcourse kwann tue na viti vimechoka? kwan sisi maskini? kwan BRT sio express?? au mpaka iwe juu?Hakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwili
Toka airport hadi banda la ngozi kuna maeneo mawili yananuka ajabu
Tabata mwananchi pananuka, mombasa kuna machinjio 🤮🤮
Shekilango 🤮🤮🤮 Mlalakuwa 🤮🤮🤮
Ebu tuone hio Airport yao kwanza 🤣 🤣 🤣 , did you say kunuka? tupe stats za majiji yanaonuka afrikaHakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwili
Toka airport hadi banda la ngozi kuna maeneo mawili yananuka ajabu
Tabata mwananchi pananuka, mombasa kuna machinjio 🤮🤮
Shekilango 🤮🤮🤮 Mlalakuwa 🤮🤮🤮
Yeeees ni akili Rais anakuwa ni mtumishi wangu na wala sio loloteThen ukishasema?? ndo Democracy hio? Cant you air your opinions bila matusi? au ndo ukishasema ivo unajiona sasa una akili kushinda kila mtu?
Dar inanuka yani inanuka haswa mimi napata tabu sana nikija kwenye huo mji wenu 🤮🤮Ebu tuone hio Airport yao kwanza 🤣 🤣 🤣 , did you say kunuka? tupe stats za majiji yanaonuka afrika
Kwamba wewe maoni yako ndo yana akili kushinda wengine sio? ndo democracy yako 🤣 🤣 🤣 dont worry, you will understand what manners areYeeees ni akili Rais anakuwa ni mtumishi wangu na wala sio lolote
Ndio maana hata Trump Rais wa taifa lililoendelea kuliko lolote lile duniani anatukanwa si mitandaoni tu hadi macho kwa macho na hakuna sheria ya kumshika mtu maana yeye si Mungu
Ila Tanzania tuna Mungu tutafanya nini sie
Express way yenye bodaboda, madaladala na mabajaj?ofcourse kwann tue na viti vimechoka? kwan sisi maskini? kwan BRT sio express?? au mpaka iwe juu?
You can’t reason with a CCM goon .. he’s a state operator and inseminator of propaganda…😆😆Yes they have, huku bongo unaweza mwambia mama samia hana akili?
It's possible in kenya
Huku Mama Samia ni Half God anaimbwa na kila mja