Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said it here that Kiswahili isn’t an important language to anyone apart from Communication in Tanzania and Kenya. You can’t use Kiswahili to get opportunities outside Kenya and Tanzania, even in Kenya Kiswahili isn’t important in cracking opportunities.


View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1850229872679174211

Wewe ni mjinga sana. Tuoneshe sorce ya hii habari.
Hiyo account inatafuta engagements za kujipatia hela tu toka kwa Elon kwa kuwatumia wapumbavu kama nyie.

Kufundishwa Kiswahili ni SADC nzima.
 
Mkuu ebu tungojee safari za emu zianze, kama kutakua na upungufu wa abiria trc ofcoz watafanya mabadliko ya bei ila mimi na imani hayo mabehewa yatakua yanajaa kwa sababu wale wa magari binafsi wengi watayapaki nyumbani
haya kaka hii mada tuachane nayo
 
IMG_0852.jpeg
IMG_0853.jpeg
 
Binafsi nina mjomba wangu na mama mkubwa,kipindi cha eac ya kwanza wao walikua kundustan,uncle alirudi TZ na mke wa kikikuyu baada ya eac kuvunjika,yule bi mkubwa alibaki kundustan coz aliolewa kule,uncle yule mkikuyu alimkuta na watoto 3 aliozaa na mkenya mwenzake,wale sisters now wote ni wa TZ,wawili wapo usa miaka kibao kila kitu wamewejeza TZ,yule bi mkuu yupo kundustan na mumewe ila wanae tuko nao TZ na wamechukua uraia wa bimkuu,kuna kunyan huku nilipo ni washkaji washaniomba,wananiomba sana niwafanyie mpango wamiliki pasi ya ngao ya bibi na bwana wenyewe wanavyoiita 😃
True!

Kenya ni nchi yenya laana.
 
Mkuu ebu tungojee safari za emu zianze, kama kutakua na upungufu wa abiria trc ofcoz watafanya mabadliko ya bei ila mimi na imani hayo mabehewa yatakua yanajaa kwa sababu wale wa magari binafsi wengi watayapaki nyumbani
Boss hata mimi nilikuwa na drive to Moro au Dom sijawahi kupanda bus. Baada ya treni nikaacha kuendesha kwasababu treni ni cheap,comfy and faster(62,000:return/300,000 return fuel). Sasa hao unaozungumzia wataacha ku drive walishaachq kabla ya hio EMU. Au wataacha hii ya kawaida ya 31,000/80,000 wapande EMU kwa 120,000/150,000 na tofauti ya muda ni kama 20minutes?
Wasiwasi wangu binafsi naona kama itakosa wateja again naombea niwe wrong.
 
Back
Top Bottom