Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mpumbavu $12 kwa kila barrel unafikiria ni pesa ndogo? Na kumbuka hiyo waxy crude oil itatumia Tanzania’s gas for heating meaning Watanunua gas yetu!
12*200,000*360=864,000,000
Ikifanya kazi miaka kumi tu ,tunalipa mkopo wote WA sgr wakati wenyewe mpaka Leo Bado hawajajua watalipaje
 
Kenyan schools has the most beautiful buses in East Africa

View attachment 3136044
Tanzania kwenye suala la transportation ninyi ni level ya Burundi

Screenshot_20241026-225230.jpg
Screenshot_20241026-225259.jpg
 
Tunaongelea commuter rail we kima usihamishe magoli 😁
Ulikuwa umaongelea mambo ya electricity, sasa mbona nikileta connection rate unakasirika? Ebu nikulize, is your house connected to electricity?
 
Tunaongelea commuter rail we kima usihamishe magoli 😁
Ulikuwa umaongelea mambo ya electricity, sasa mbona nikileta connection rate unakasirika? Ebu nikulize, is your house connected to electricity?
 
Tanzania kwenye suala la transportation ninyi ni level ya Burundi

View attachment 3136131View attachment 3136132
Hii screenshot ndio transportation?

Haya let’s do a Fair comparison;
1. Total Air Transport in Kenya stands at 13M while ya Tanzanian ni 4M.
2. Kenyan SGR ferries 9k people in a day towards one destination while yours only carries 4k towards several destinations.
3. Kenyan buses ferries more people than your buses.
 
Tunapata $13 per barrel kwa siku barrel 200k which translates to $ 1bn pa. Hapo bado profit from the pipeline according to our shares 15%
That money can do alot of development in Tz
Wapi hiyo agreement tuone? Ama wewe unasema tu what you heard? Show us the agreement.
 
Wewe mpumbavu $12 kwa kila barrel unafikiria ni pesa ndogo? Na kumbuka hiyo waxy crude oil itatumia Tanzania’s gas for heating to liquid state to make it flow meaning Watanunua gas yetu!
Where is the agreement which says that your government will receive that. Just post the agreement here, not hearsay.
 
Nimeongelea electricity kwa urbam mass transit system or rather rail sasa nyumba inatoka wapi kwenye mada hapa mbona unakuwa silly sana.
My question is, why focus on electrifying transport when more than half your population still live in darkness? Are you apes ama?
 
Back
Top Bottom