Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijaona penye amesema yeye ni Tanzanian. Going by this tweet then mtu anaezasema yeye ni Mkenya pia, mbona mnakuanga hivi?😂😂 That guy call every African country home, mnakuanga rahisi sana kudanganya 😂😂

View: https://x.com/mkainerugaba/status/1481456943621361667

Hadi mtu kusema “Tz is my homeland”what does it mean.? Then kimsingi Muhozi ni raia wa Tz wa kuzaliwa. Sasa wew endelea kukaza fuvu, mana ni kawaida yako kubisha.
 
Hii screenshot ndio transportation?

Haya let’s do a Fair comparison;
1. Total Air Transport in Kenya stands at 13M while ya Tanzanian ni 4M.
2. Kenyan SGR ferries 9k people in a day towards one destination while yours only carries 4k towards several destinations.
3. Kenyan buses ferries more people than your buses.
Huu ni upupu gani.? 😂😂😂 Tz kwenye suala la Usafiri kwa hapa Africa mashariki wala hatuna mpizani.
 
Mchongoko
Bei kwa Royal Class
1. Dar Dodoma - 150,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 150,000/=
3. ⁠Dar Moro - 63,000/=
4. ⁠Moro - Dar 63,000/=
5. ⁠Dodoma Moro - 85,000/=

Bei kwa Business Class
1. Dar Dodoma - 120,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 120,000/=
3. ⁠Dar Moro - 50,000/=
4. ⁠Moro Dar - 50,000/=
5. ⁠Dodoma Moro 68,000/=

Mmh LATRA waingilie kati... Hizi bei sio rafiki sana.

Royal iwe angalau 100k.
 
My second home maanake Nini? Swali ni, mbona mnamshobokea wakati anaitwa Kila nchi Africa home?🤣🤣
Tunamshobokea kivipi wakati passport yake inasoma kazaliwa Tanzania, alafu ngoja nikuulize swali, ni raia gn kutoka EA asingependa kuwa mtanzania? Hata wewe ukifa leo ukapata nafasi ya kuchagua uzaliwe Tanzania au Kenya utachagua wapi? Jijibu kimoyomoyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
What is the problem with Tsh 150,000?
Ubaya ni kutaka huduma za Royal class na kutokuwa tayari kuzilipia! Na upumbavu Ni kulalamika as if Hamna other classes Au trains zinazoweza ku-meet ur affordability! Watanzania tubadilike! Kama una nauli ya economy panda economy usitake makuu! Ile ni biashara! Lile behewa la Royal class ni kwa wanajiweza! Ma-CEO na Mawaziri na Wabunge na Wafanyabiashara!
 
Hii screenshot ndio transportation?

Haya let’s do a Fair comparison;
1. Total Air Transport in Kenya stands at 13M while ya Tanzanian ni 4M.
2. Kenyan SGR ferries 9k people in a day towards one destination while yours only carries 4k towards several destinations.
3. Kenyan buses ferries more people than your buses.
Unaumwa mavi wewe!
 
Sijawahi fika Nairobi au sio.

Nairobi ukitoa Uptown... Namaanisha kale ka sehemu kuanzia moi Avenue kuja juu huku Kenyatta, kimathi, banda, mama ngina, muindi mbingu, city hall, Agha khan walk hadi Haile selassie na huku uhuru highway

Sehemu zote zilizobaki Nairobi hakuna modern sidewalks, closed Sewage and drainage system, electric cable hunging everywhere, Barabara hazifagiliwi nk...kote huko kuanzia Upper hill ( huku ndo kabisa Barabara zake ni finyu ukiondoa main roads), kilimani, kileleshwa,lavington hadi kule slum ya kawangware, westlands, parklands, Eastleigh huko ndo worse, eastlands ndo worse zaidi...yaan Nairobi has poor horizontal infrastracture tuseme ukweli.

Huwezi linganisha na Dar yenye 100km of BRT System ambayo inacontain modern and developed horizontal infrastracture

Ukweli usemwe
Ukiwaambia hivi hawapendi kabisa lkn wakenya wote wanaokuja Dar hawatamani hata kurudi kwao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchongoko
Bei kwa Royal Class
1. Dar Dodoma - 150,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 150,000/=
3. ⁠Dar Moro - 63,000/=
4. ⁠Moro - Dar 63,000/=
5. ⁠Dodoma Moro - 85,000/=

Bei kwa Business Class
1. Dar Dodoma - 120,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 120,000/=
3. ⁠Dar Moro - 50,000/=
4. ⁠Moro Dar - 50,000/=
5. ⁠Dodoma Moro 68,000/=
ila hapa wamefeli kadogosa apitie hzi bei tena unless waseme tu kua mchongoko ni kwa ajili ya viongozi na watu mashuhuri but sio kwa mtanzania wa kawaida.
 
What is the problem with Tsh 150,000?
iko juu sana kwa mtanzania bro, siku zote ukitaka kujua neema za MUNGU muangalia mtu alie chini yako, ifike hatua hii nchi itazame wanyonge 150k kaka dar dom its a lot unless tuambiwe kua mchongoko ni kwa ajili ya matajiri tu then its ok .....

tumeambiwa kua umeme unaotumika ni just 10% ya ghrama from 40% ya diesel so inakuaje bei zinatisha namna hiii, tusijiangalie sisi labda tuna uwezo je mtanzania wa hali ya chini atanufaika vp na usafiri huo
 
Nimesikitika sana kuna mwenzetu humu anasema maoni kama yako ni akili za kimasikini. Hawa chawa wanaofanya kazi serikalini wana shida sana.
Panda Economy Wacha upumbavu wa kutaka makuu! Jikubali kwa uwezo wako!
 
iko juu sana kwa mtanzania bro, siku zote ukitaka kujua neema za MUNGU muangalia mtu alie chini yako, ifike hatua hii nchi itazame wanyonge 150k kaka dar dom its a lot unless tuambiwe kua mchongoko ni kwa ajili ya matajiri tu then its ok .....

tumeambiwa kua umeme unaotumika ni just 10% ya ghrama from 40% ya diesel so inakuaje bei zinatisha namna hiii, tusijiangalie sisi labda tuna uwezo je mtanzania wa hali ya chini atanufaika vp na usafiri huo
Wacha ujinga behewa moja Kati ya nane! Si upande mengine? Royal class ni kwa Mtanzania anayejiweza!
 
Nimesikitika sana kuna mwenzetu humu anasema maoni kama yako ni akili za kimasikini. Hawa chawa wanaofanya kazi serikalini wana shida sana.
shida kubwa hvi sasa hakuna mtu anatazama wanyonge, hii nchi bado hatujafika hzo level wanaofikiri tumefika

leo unaeza amini bei ya mafuta kupanda inasababishwa na uzembe wa kuchelewesha meli bandarini kwa maslahi ya wachache

juzi nimeskia wanasema gharama ya umeme ni just 10% from 40% ya diesel sasa bei ina kwenda tena juu kwa vigezo gani
 
Wacha ujinga behewa moja Kati ya nane! Si upande mengine? Royal class ni kwa Mtanzania anayejiweza!
kaka kila mtanzania anatamani kupanda hakuna mtu hatamani kupanda royal wa business hebu muwe na fikra na watu wa hali ya chini pia

hatukatai royal na business ni something special lakini weka bei ambayo ni reasonable kidogo atleast hata mtu wa chini anaeza tamani au kushawishika kutumia usafiri huo

sasa trein inatumia umeme wa nn ikiwa bado bei ni zilezile na tumeambiwa wamecut cost ya diesel kutoka kwenye umeme from 40% to 10%

kadogosa hili aliangale kwa kina sana na LATRA walipitie hii haikubaliki kabisa

lazma tujenge jamii ya usawa tanzania ndio nchi inaongoza africa kwenye inclusive economy tusiharibu hii image sasa
 
shida kubwa hvi sasa hakuna mtu anatazama wanyonge, hii nchi bado hatujafika hzo level wanaofikiri tumefika

leo unaeza amini bei ya mafuta kupanda inasababishwa na uzembe wa kuchelewesha meli bandarini kwa maslahi ya wachache

juzi nimeskia wanasema gharama ya umeme ni just 10% from 40% ya diesel sasa bei ina kwenda tena juu kwa vigezo gani
Kama wana uhakika wa abiria watakaotoa 120,000-150,000 kujaza hio route sawa. Ila wengi watabaki kwenye ile ya kawaida maanake tofauti ya muda haizidi 20minutes
 
Kama wana uhakika wa abiria watakaotoa 120,000-150,000 kujaza hio route sawa. Ila wengi watabaki kwenye ile ya kawaida maanake tofauti ya muda haizidi 20minutes
mm mwenyewe nashangaa sana ingekua tofaut ya saa moja au masaa mawili then inaeza leta sense kidogo japo bado bei iko juu hio kwa mtanzania

watu wanawaza matumbo yao hawawazi watu wa chini, wanasahau njaa inaeza haribu amani angalia sudan huko tazama kenya amani hakuna kwasababu masikini wamesahaulika
 
Ubaya ni kutaka huduma za Royal class na kutokuwa tayari kuzilipia! Na upumbavu Ni kulalamika as if Hamna other classes Au trains zinazoweza ku-meet ur affordability! Watanzania tubadilike! Kama una nauli ya economy panda economy usitake makuu! Ile ni biashara! Lile behewa la Royal class ni kwa wanajiweza! Ma-CEO na Mawaziri na Wabunge na Wafanyabiashara!
Tuchukulie unaondoka na gari kutoka Dar kwenda Dodoma.
Unatembea 500KM
Tuseme gari ndogo (IST) inakula mafuta 1Liter per 10KM
Inamaana utatumia 50Liter

Bei ya Petrol ni 3,000 per Liter. Maana yake
3,000 x 50 = Tsh 150,000

Hapo tumeongelea gari dogo.

Sasa ukitaka kuendesha gari kubwa Cost inazidi Tsh 150,000

Nashangaa kwanini vijana wanalalamika.
 
Back
Top Bottom