Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mjinga sana. Tuoneshe sorce ya hii habari.
Hiyo account inatafuta engagements za kujipatia hela tu toka kwa Elon kwa kuwatumia wapumbavu kama nyie.

Kufundishwa Kiswahili ni SADC nzima.
Umeshinda kutafuta engagement unadhani huyo ni kama wewe? The part page has been there even before Elon Musk bought X. Because wameongelea something touching Tanzania lazima tu mngekasirika.

Anyway how are you doing with looking for engagements your zero likes posts😂
 
Hizi habari zingekuwa za Kenya wangekuwa wamehifadhi hizi screenshots. Wangekuwa wanazirusha humu daily. 😂😂😂
Watanzania ni wapishi hodari, Yani it forced World Bank and IMF to shame them in broad daylight ndio wakashtuka. Lakini najua bado wanapiga data though kisirisiri😂
 
Hizi habari zingekuwa za Kenya wangekuwa wamehifadhi hizi screenshots. Wangekuwa wanazirusha humu daily. 😂😂😂
There is a song we used to sing in Primary which goes like this;

🎶Mwizi anapenda kusema ameibiwa kumbe yeye ndio ameibiana🎶

That song clearly describes Tanzanians cause they like to accuse people of what they are used to doing😂😂
 
Kama hivyo ndivyo, Serikali ilishindwa nini kufufua hicho kiwanda kilichokuwa kinakula hasara miaka yote? Kwa nini wasijenge kiwanda wao kama wao hao Serikali Hadi wawe wanakuwa kwenye mgongo wa wawekezaji?
Msikilize vizuri msajili wa hazina kaelezea vizuri kwanini hawajaanzisha kiwanda kingine separately, ameelezea kila kitu
 
Wewe unaishi Dunia gani? Serikali si mwekezaji Bali Amsons!
Awali kiwanda kilikua cha serikali by 100 percent, baada ya kubinafsishwa serikali ilibaki na 25 percent, saivi serikali inawekeza kupitia msajili wa mashirika ya umma

Screenshot_20241028-044533.jpg

View: https://youtu.be/3rIf8OEdr3s?si=vOD322LQ4nFIuB3F
 
option cheaper zipo lakini kila mtanzania ana haki sawa, hata maskini anatamani kupanda mchongoko je bei iliowekwa inamtamanisha nayeye apande??

tajiri hata akiwekewa laki tatu kwake its ok sasa je yule maskini umemfirikia na yeye na yet its public transport na tumejisifu hapa kua tume cut fuel cost from 40% to 10% umeme

kuna jambo haliko sawa kama mutanielewa nn namaanisha
Mkuu lengo kuu ni kutoa huduma kwa wasafiri sasa kama cheaper options ziko kwa SGR choice ya type of train na class ni non starter maana hata kwenye locomotive pulled SGR kuna business class which is still affordable.
Hapo ni kama unataka bei ya business class kwenye ndege ishuke ili kila mtu aweze ku afford tuwaamini TRC labda wamefanya market research na kuona hizo nauli ziko sawa na pia kama wako right kwa hizo nauli na treni ikajaa basi itasaidia kuendelea kutoza affordable fares kwa ile treni nyingine maana itakuwa ina complement cheaper train fares kwa walio wengi. Yani matajiri watakaokuwa wanapanda EMU watakuwa wanasaidia kufanya fare za treni nyingine ziwe chini na huduma iendelee bila vikwazo.
 
nahisi mkuu point yangu bado hujaielewa anyway tuachane na hii mada
 
Back
Top Bottom