Mkuu lengo kuu ni kutoa huduma kwa wasafiri sasa kama cheaper options ziko kwa SGR choice ya type of train na class ni non starter maana hata kwenye locomotive pulled SGR kuna business class which is still affordable.
Hapo ni kama unataka bei ya business class kwenye ndege ishuke ili kila mtu aweze ku afford tuwaamini TRC labda wamefanya market research na kuona hizo nauli ziko sawa na pia kama wako right kwa hizo nauli na treni ikajaa basi itasaidia kuendelea kutoza affordable fares kwa ile treni nyingine maana itakuwa ina complement cheaper train fares kwa walio wengi. Yani matajiri watakaokuwa wanapanda EMU watakuwa wanasaidia kufanya fare za treni nyingine ziwe chini na huduma iendelee bila vikwazo.