Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

iko juu sana kwa mtanzania bro, siku zote ukitaka kujua neema za MUNGU muangalia mtu alie chini yako, ifike hatua hii nchi itazame wanyonge 150k kaka dar dom its a lot unless tuambiwe kua mchongoko ni kwa ajili ya matajiri tu then its ok .....

tumeambiwa kua umeme unaotumika ni just 10% ya ghrama from 40% ya diesel so inakuaje bei zinatisha namna hiii, tusijiangalie sisi labda tuna uwezo je mtanzania wa hali ya chini atanufaika vp na usafiri huo
Ndugu Tsh 150,000 ni ndogo sana. Kwetu sisi tunaopiga route kwa kuendesha gari from Dar to Dodoma ni kawaida sana.

Mfano mimi huwa najaza Full Tank kutoka Dar kwenda dodoma Liter 60. Ninafika dodoma Mafuta yameisha.

So piga hesabu mafuta Liter 60x 3,000 = Tsh 180,000. Plus umechoka umefanyia gari service. Guys hebu tuache ulalamishi ambao hauna tija. Mimi mwenyewe nitaacha kweda Dodoma na Gari.

I will be using Royal.
 
Ubaya affordable options zipo ila makapuku wanang’ang’ania Royal class ambayo haiwahusu! Mbona TRC isiwe na Huduma kwa wenye uwezo pia?
 
Tunamshobokea kivipi wakati passport yake inasoma kazaliwa Tanzania, alafu ngoja nikuulize swali, ni raia gn kutoka EA asingependa kuwa mtanzania? Hata wewe ukifa leo ukapata nafasi ya kuchagua uzaliwe Tanzania au Kenya utachagua wapi? Jijibu kimoyomoyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Binafsi nina mjomba wangu na mama mkubwa,kipindi cha eac ya kwanza wao walikua kundustan,uncle alirudi TZ na mke wa kikikuyu baada ya eac kuvunjika,yule bi mkubwa alibaki kundustan coz aliolewa kule,uncle yule mkikuyu alimkuta na watoto 3 aliozaa na mkenya mwenzake,wale sisters now wote ni wa TZ,wawili wapo usa miaka kibao kila kitu wamewejeza TZ,yule bi mkuu yupo kundustan na mumewe ila wanae tuko nao TZ na wamechukua uraia wa bimkuu,kuna kunyan huku nilipo ni washkaji washaniomba,wananiomba sana niwafanyie mpango wamiliki pasi ya ngao ya bibi na bwana wenyewe wanavyoiita 😃
 
Ndugu Tsh 150,000 ni ndogo sana. Kwetu sisi tunaopiga route kwa kuendesha gari from Dar to Dodoma ni kawaida sana.

Mfano mimi huwa najaza Full Tank kutoka Dar kwenda dodoma Liter 60. Ninafika dodoma Mafuta yameisha.

So piga hesabu mafuta Liter 60x 3,000 = Tsh 180,000. Plus umechoka umefanyia gari service. Guys hebu tuache ulalamishi ambao hauna tija. Mimi mwenyewe nitaacha kweda Dodoma na Gari.

I will be using Royal.
Ila road trip tamu sana 😃🖐,mimi napendaga ile kusimama kununua vitu njiani,uwa naenjoy sana
 
Sijawahi fika Nairobi au sio.

Nairobi ukitoa Uptown... Namaanisha kale ka sehemu kuanzia moi Avenue kuja juu huku Kenyatta, kimathi, banda, mama ngina, muindi mbingu, city hall, Agha khan walk hadi Haile selassie na huku uhuru highway

Sehemu zote zilizobaki Nairobi hakuna modern sidewalks, closed Sewage and drainage system, electric cable hunging everywhere, Barabara hazifagiliwi nk...kote huko kuanzia Upper hill ( huku ndo kabisa Barabara zake ni finyu ukiondoa main roads), kilimani, kileleshwa,lavington hadi kule slum ya kawangware, westlands, parklands, Eastleigh huko ndo worse, eastlands ndo worse zaidi...yaan Nairobi has poor horizontal infrastracture tuseme ukweli.

Huwezi linganisha na Dar yenye 100km of BRT System ambayo inacontain modern and developed horizontal infrastracture

Ukweli usemwe
Hii hapa Kileleshwa unayosema ina open drains na uchafu. Halafu BRT iko kwa main artery roads. Nani hajui njia za ndani Dar ni vumbi tupu? Kwa hivo sidewalks mmeweka kwa vumbi? Kumbuka hizi hata sio main roads. Ni barabara za ndani ndani tu.

kileleshwa-ring-road-Nairobi.jpg

kenyan-roads-kileleshwa-near-arboretum-nairobi-kenya-kenyan-roads-kenyan-roads-kileleshwa-near-arboretum-nairobi-kenya-245976953.jpg

Ukitaka real time Google images zipo. Usilinganishe Nairobi na vitu vya kipuuzi. Una Google maps hapo na Nairobi ina Google Street view. Zoom anywhere hapo Kileleshwa ama Kilimani unionyeshe barabara isiyo na proper drainage ama sidewalks. Na ukinionyesha ya vumbi nahama huu uzi.

Screenshot 2024-10-27 101038.png
 
Sijawahi fika Nairobi au sio.

Nairobi ukitoa Uptown... Namaanisha kale ka sehemu kuanzia moi Avenue kuja juu huku Kenyatta, kimathi, banda, mama ngina, muindi mbingu, city hall, Agha khan walk hadi Haile selassie na huku uhuru highway

Sehemu zote zilizobaki Nairobi hakuna modern sidewalks, closed Sewage and drainage system, electric cable hunging everywhere, Barabara hazifagiliwi nk...kote huko kuanzia Upper hill ( huku ndo kabisa Barabara zake ni finyu ukiondoa main roads), kilimani, kileleshwa,lavington hadi kule slum ya kawangware, westlands, parklands, Eastleigh huko ndo worse, eastlands ndo worse zaidi...yaan Nairobi has poor horizontal infrastracture tuseme ukweli.

Huwezi linganisha na Dar yenye 100km of BRT System ambayo inacontain modern and developed horizontal infrastracture

Ukweli usemwe
Barabara za Upperhill hizi. Ukiambiwa na waliotembea Nairobi hutaki kukubali. Unataka kukariri hadithi za vijiweni Tandale.
Screenshot 2024-10-27 101443.png
Screenshot 2024-10-27 101523.png
Screenshot 2024-10-27 101624.png

Screenshot 2024-10-27 101720.png

Kumbuka hizi sii main artery roads. Ni barabara za kuunganisha Upperhill
 
census za uhuru au za mama ngina 😂😂😂

ikiwa kibera alone ina over 2.5m what about other slums?? na je population ya nairobi ni ngap sasa hvi 😂😂😂😂
Ebu tuambie nani aliehesabu watu kibera wakapata wako 2.5M. Wewe ama? Alafu hiyo population unataka kukula ni according to who?
 
so marcopolo za china sio marcopolo?😂

tafuta katarama iliokua assembled kenya mm nifunge acc sasa hvi 😂😂😂

kama mtu anauwezo wa kununua scania irizar i6s tano kwa mpigo unaona huyo ji mtu wa mchezo 😂😂😂😂😂
Hivo ndio ulikataa Ally's Star kuenda kwa Master Fabricator. Nakujua na kupinga kila kitu and at the end unabaki ukiabika.
 
Those percentages are only found in your thick and dumb head😎
Your 60% inspatikana wapi? Kibera as a constituency has 179,000 people and this includes upperhill. Ebu wewe tuambie hiyo source Yako inasema wako wangapi na walihesabu watu lini huko?
 
Yeye amekaa Nairobi na akakaa Dar. Hana emotional attachment kwa either city na ametoa maoni kwamba Nairobi Ina sidewalks na Dar haina. Wewe uliye na emotional attachment kwa Dar na hujawai fika Nairobi unataka tukuamini na yeye tusimuamini? 😂😂😂
Watanzania huwa hawapendi kuambiwa ukweli. Baba Levo pia alishasema Dar ni kama village to Nairobi 😂
 
Binafsi nina mjomba wangu na mama mkubwa,kipindi cha eac ya kwanza wao walikua kundustan,uncle alirudi TZ na mke wa kikikuyu baada ya eac kuvunjika,yule bi mkubwa alibaki kundustan coz aliolewa kule,uncle yule mkikuyu alimkuta na watoto 3 aliozaa na mkenya mwenzake,wale sisters now wote ni wa TZ,wawili wapo usa miaka kibao kila kitu wamewejeza TZ,yule bi mkuu yupo kundustan na mumewe ila wanae tuko nao TZ na wamechukua uraia wa bimkuu,kuna kunyan huku nilipo ni washkaji washaniomba,wananiomba sana niwafanyie mpango wamiliki pasi ya ngao ya bibi na bwana wenyewe wanavyoiita 😃
Bro passport ya Tanzania inahitajika mnoo, nina mwanangu yupo US ni mkongo lkn anataka passport ya Tz, ana nafasi ya kupata passport ya US lkn hataki anakuambia ndoto yake ni kuwa mtanzania kwasababu alizaliwa Tanzania lkn hakupata nafasi ya passport ya ngao ya bibi kwasababu wazazi wake ni wakongo, oya mkuu Tz ni nchi inayopambaniwa sanaa.
 
That's why wanang'ang'ania Africa Kusini eti Ndugu zao wakati S.A wanawaita kwerekwere.🤣🤣
Is Kwerekwere same a drug dealers? There's a video I sawa where South Africans were calling Tanzanians drug dealers and child traffickers.

Wamekazana na South Wakati hao wasauzi hata hawaheshimu. South Africans love Kenyans kuwaliko.
 
Bro passport ya Tanzania inahitajika mnoo, nina mwanangu yupo US ni mkongo lkn anataka passport ya Tz, ana nafasi ya kupata passport ya US lkn hataki anakuambia ndoto yake ni kuwa mtanzania kwasababu alizaliwa Tanzania lkn hakupata nafasi ya passport ya ngao ya bibi kwasababu wazazi wake ni wakongo, oya mkuu Tz ni nchi inayopambaniwa sanaa.
Story za jaba hizi, Tanzania inapambaniwa na nani?😂😂😂
 
Put the total number of containers being handled and stop the stories. Dar port only handled 27
Kama Dar is handling 27 containers then hata Lake Turkana port imeishinda. Mombasa handles 1.6M Teus while Dar Port only handled 600k Teus.
 
Yaani nchi ya watu zaidi ya 65M wasemewe na Comedian baba levo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Who is baba levo in Tanzania?
Baba Levo amekushinda mara dufu. Baba Levo amefika Kenya, wewe umefika wapi? I'm sure hata Tanzania hujatembea nusu yake.
 
Back
Top Bottom