Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Wewe nyang'au usijifanye kichwa ngumu😁Wewe tuambie ni nani aliehesabu watu Kibera akawapata wako 2.5M. Mnapenda kudanganywa sana.
Wewe nyang'au usijifanye kichwa ngumu😁Wewe tuambie ni nani aliehesabu watu Kibera akawapata wako 2.5M. Mnapenda kudanganywa sana.
Yeah, naijua. They are Tanzania role model in infrastructure development. Most of your government officials and army personnel also come from Burundi. So lazima tu utaje Burundi cause they are a bedrock in Tanzania.Burundi unaijua.?
Umeshindwa kuleta mwenye aliehesabu watu Kibera akawapata wako 2.5M? So all along umekuwa ikitajataja what you even don't know who published it?Wewe nyang'au usijifanye kichwa ngumu😁
Tafuta waburundi kadhaa anzisha thread mushindane kuhusu transportation.Yeah, naijua. They are Tanzania role model in infrastructure development. Most of your government officials and army personnel also come from Burundi. So lazima tu utaje Burundi cause they are a bedrock in Tanzania.
Nimekuambia acha kuwa kichwa ngumu wewe nyang'au.Umeshindwa kuleta mwenye aliehesabu watu Kibera akawapata wako 2.5M? So all along umekuwa ikitajataja what you even don't know who published it?
There's no country in East Africa that can compete with Kenya in terms of Transpiration. Nyinyi tafuteni South Sudan cause it seems you have already accepted that Burundi is ahead of Tanzania.Tafuta waburundi kadhaa anzisha thread mushindane kuhusu transportation.
Mtu akiitisha evidence ni kichwa ngumu? Najua nyinyi watanzania mmezoea vitu vya kuambiwa. You are always lazy to do a proper research.Nimekuambia acha kuwa kichwa ngumu wewe nyang'au.
Hebu jifanye unajikuna. Soma hiyoo. Engineer soma hiyoo😁Mtu akiitisha evidence ni kichwa ngumu? Najua nyinyi watanzania mmezoea vitu vya kuambiwa. You are always lazy to do a proper research.
Tanzania has lost track of Mama Ngina's statistical informationTanzanian transport industry is not even a quarter of $1B yet you want to compare it with Kenyan transport industry which is $9.6B😂😂🤣
View attachment 3136356
So tena Kibera is not 2.5M😂😂🤣.
Unajibaraguza tu; na kila mtu anajua hilo.😁So tena Kibera is not 2.5M😂😂🤣.
Naona nimeweka sense in your thick head.
Yaani hawajui business has to cater for all classes wenye nazo wanaopenda exclusivity na wa sio nazo ambapo SGR imewa-consider pia!Tuchukulie unaondoka na gari kutoka Dar kwenda Dodoma.
Unatembea 500KM
Tuseme gari ndogo (IST) inakula mafuta 1Liter per 10KM
Inamaana utatumia 50Liter
Bei ya Petrol ni 3,000 per Liter. Maana yake
3,000 x 50 = Tsh 150,000
Hapo tumeongelea gari dogo.
Sasa ukitaka kuendesha gari kubwa Cost inazidi Tsh 150,000
Nashangaa kwanini vijana wanalalamika.
Hamjui business Kazi kulalamika Sasa mtu una Tshs 120,000 na kuna mabehewa kwenye hiyo treni mbona ulazimishe Royal class? Na kama huna Tshs 120,000 kuna treni ya kawaida! Tukiwaendekeza SGR haitalipa!We mzee unakuwaga na mihemko kweli kweli mda mwingine, sasa si ujibu kwa hoja.
Burundio ndio level yenu kijana 😂😂There's no country in East Africa that can compete with Kenya in terms of Transpiration. Nyinyi tafuteni South Sudan cause it seems you have already accepted that Burundi is ahead of Tanzania.
Burundi unaijua.? 😂😂😂 hizi statistics za mama ngina hazitakusaidia kitu.Tanzanian transport industry is not even a quarter of $1B yet you want to compare it with Kenyan transport industry which is $9.6B😂😂🤣
View attachment 3136356
See your transport industry, hata ya Nairobi alone is bigger than entire Tanzanian transport industry 😂😂😂👇👇Burundi unaijua.? 😂😂😂 hizi statistics za mama ngina hazitakusaidia kitu.
Please mention those 200 settlements hapa tunataka kuziona. Also don't forget that 41% of Tanzanians live in slums.Unajibaraguza tu; na kila mtu anajua hilo.😁
"There are approximately 2.5 million slum dwellers in about 200 settlements in Nairobi representing 60% of the Nairobi population"
Yes according to mama ngina statistics 😂😂😂See your transport industry, hata ya Nairobi alone is bigger than entire Tanzanian transport industry 😂😂😂👇👇
View attachment 3136394
Business gap waliyoiona TRC ni excesive demand waliyonayo, sasa hii inakuja kuzibwa na hii price descrimination waliyoamua kuiweka, mtu ambaye anapata safari ya ghafla atapata usafiri, hakuna tena kubook a week before kama ilivyo sasa. Ni economics tu sema watu wetu wengi ujamaa umewapumbaza.Hamjui business Kazi kulalamika Sasa mtu una Tshs 120,000 na kuna mabehewa kwenye hiyo treni mbona ulazimishe Royal class? Na kama huna Tshs 120,000 kuna treni ya kawaida! Tukiwaendekeza SGR haitalipa!