ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Sawa let's seeHiyo what if, ni Assumption (Nakuhakikishia Behewa nane zote zitakuwa zinajaa). Watu hatufanani bro. Hiyo 150,000 haifikii hata kima cha chini cha posho ya mtumishi wa kawaida kwa siku.
Hatutaki mkazane na Kenya.Ungependa wakazane na wakunya?
Kuna data yoyote kifedha yenye uhalisia about Kenya ukitoa Slums na Njaa?Go check the value of Tanzanian sector Alafu ulinganishe na ya Kenya. Ukipata ya Tanzania kama ni kubwa kuliko ya Kenya kuja unizabe.
option cheaper zipo lakini kila mtanzania ana haki sawa, hata maskini anatamani kupanda mchongoko je bei iliowekwa inamtamanisha nayeye apande??Kwani hakuna options cheaper za kwenda Dodoma by SGR?
Ila kwa umaskini hapo napinga buana hayupo hapoData zinadai TZ iko katika 15 maskini zaidi duniani,wewe unaona sawa kabisa na kiuhakika tupo kwenye top 10 ya nchi zilizo na uchumi mzuri afrika!tbs wachinjwe dec wale,GDP yetu kwa sasa hamna anaetufikia east africa
As long as everybody else trust our figures we don’t care what a beggar like think. Again the last time I checked IMF flagged Tanzania for cooking their numbers.Kuna data yoyote kifedha yenye uhalisia about Kenya ukitoa Slums na Njaa?
Bora hii offer ya Amsons huko Kundustan imeshindikana Ili Sasa waelekeze Nguvu kufanya Upanuzi wa Kiwanda Mama Cha Mbeya Cement na kujenga kiwanda kipya Cha Mbeya Cement Tanga kama walivyosema wiki Jana 👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1849986806953156647?t=7jN26rnN8ugMz8mB-pdSvg&s=19
View: https://x.com/BD_Africa/status/1850073621571547402?t=pAD2r2CpfQVruZvqXb_zxA&s=19
Hehehe look who talking, eti Tanzania cooking numbers?As long as everybody else trust our figures we don’t care what a beggar like think. Again the last time I checked IMF flagged Tanzania for cooking their numbers.
Kwa nini tulipe pesa nyingi Kwa kampuni linalokula hasara wakati tunaweza zalisha cement bila hasara? 👇👇Hamna uwezo wa kununua kampuni za Kenya.
Bora hii offer ya Amsons huko Kundustan imeshindikana Ili Sasa waelekeze Nguvu kufanya Upanuzi wa Kiwanda Mama Cha Mbeya Cement na kujenga kiwanda kipya Cha Mbeya Cement Tanga kama walivyosema wiki Jana 👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1849986806953156647?t=7jN26rnN8ugMz8mB-pdSvg&s=19
View: https://x.com/BD_Africa/status/1850073621571547402?t=pAD2r2CpfQVruZvqXb_zxA&s=19
Kama hivyo ndivyo, Serikali ilishindwa nini kufufua hicho kiwanda kilichokuwa kinakula hasara miaka yote? Kwa nini wasijenge kiwanda wao kama wao hao Serikali Hadi wawe wanakuwa kwenye mgongo wa wawekezaji?Kiwanda cha mbeya ll na Tanga ni uwekezaji wa serikali kama shareholder wa mbeya cement sio amsons kama yeye, baada ya uwekezaji serikali itakua na hisa zaidi ya 90% mbeya cement
Didn’t you know that IMF flagged your country for cooking figures?😂😂👇👇👇Hehehe look who talking, eti Tanzania cooking numbers?
Anyway tafuta nchi yenye Chai Maharage for your transportation comparison.
Kwa nini tulipe pesa nyingi Kwa kampuni linalokula hasara wakati tunaweza zalisha cement bila hasara? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBJqqtNNS2E/?igsh=MWk4ZWtrZGJ6Nmkyag==
Kuwa biggest ndio kunafanya msile hasara Hadi kutegemea investors wengine wa inject pesa kuiokoa?Bamburi is the biggest Cement company in East Africa that’s why hao warabu wa Tanzania wanted to buy it lakini hakuwa na uwezo.
Tanzania is the only country known for cooking economic figures, hakuna siku Kenya iashaikuwa flagged by IMF and World Bank for cooking numbers😂😂👇👇Hehehe look who talking, eti Tanzania cooking numbers?
Anyway tafuta nchi yenye Chai Maharage for your transportation comparison.
Bamburi Cement made a profit this year, ama unaongelea Bamburi ya Burundi na sijui?Kuwa biggest ndio kunafanya msile hasara Hadi kutegemea investors wengine wa inject pesa kuiokoa?
Unazingua. Haki huwa inaenda na wajibu.option cheaper zipo lakini kila mtanzania ana haki sawa, hata maskini anatamani kupanda mchongoko je bei iliowekwa inamtamanisha nayeye apande??
tajiri hata akiwekewa laki tatu kwake its ok sasa je yule maskini umemfirikia na yeye na yet its public transport na tumejisifu hapa kua tume cut fuel cost from 40% to 10% umeme
kuna jambo haliko sawa kama mutanielewa nn namaanisha