Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubishi wa leo bei za Train.

Mnaweza ona bei ni Sawa 120,000 yes it make sense kwenu, kama mlivyosema kuna option nyingi, what If watu wakaamua kutumia zaidi option hizo wanazozimudu na hiyo michongoko ikawa haipati volume inayotegemewa, mwisho ianze kuonekana Hasara tu kama Air Tanzania route za Ndani baada ya kumtimua FastJet.

Hatuna baya nazo, zinatumia umeme wetu fully from JNHPP maji ya RUFIJI, sio diesel obviously cost ni ndogo.

Na ieleweke mostly SGR wengine wanaitumia iwafikishe Dodoma haraka you adake another kwenda tuseme Mwanza ikiwa Katarama na Irzar yqke hiyo 120,000 unapanda na unapata kila huduma 1000km.

Nachojaribu kumaanisha hakuna baya nauli zikiwa hivyo, ni kuwa with existing competition kwenye transportation Ndege, Train, Luxurious Buses, na hiyo SGR ina behewa class za chini ni Nzuri na zinafika muda sawa kabisa na hiyo Royal kwa kupishana dakika kadhaa.

Itakuawe watu wengi wakizikacha watumie zingine kwa wingi, Mchongoko itakuaje ikiwa haipati kama ilivyopangwa na zipo kadhaa?

Making it affordable sio kwa ubaya ikiwa Dar Moro ni 13k ordinary, alafu ghafla Royal upo 60k inakuaje na muda wa kufika unakuta uleule labda kupishana dk kadhaa.

Siku mchongoko ukianza kuonekana eti hautumiki kama ulivyotegemewa unaharibu hela za walipakodi tuanze tena kutafutana.

Mkumbuke hao mnaowaita viongozi wana AIR TANZANIA pia.
Ulichoandika ndio concern yangu. Sasa kuna wapumbavu wanafikiri ukisema hivo u can't afford 150k. Wasiwasi wangu watapata kweli abiria wa kujaza treni hio kwa 150k wakati ipo ya 31,000 kwa 80,000 inatumia 15 au 20minutes more?
 
Mzee usipende kuita watu wapumbavu wanapoongea kinyume na matakwa yako.

Wewe baki na mawazo yako, na sisi tubaki na mawazo yetu. Hatuwezi fanana. Hiyo ndiyo freedom.

Wewe subiri EMU zianze kupiga kazi sisi tutapanda.
 
Hatutaki mkazane na Kenya.

Watanzania wamejaza streets zetu wakiomba omba. Wengine wenye hawaombi ni drug traffickers.

Have you wondered How those so called beggars get into your Godforsaken wretched country without papers on first place ?
Because they are capable of bribing your officials with 500. And so does those you call drug traffickers.
 
Afraha Stadium, Nakuru.
IMG_0672.jpeg
 
Ila at least kungewepo na daraja jingine la letsay premium economy kwa 70,000 au kama vipi wangeweka treni nyingine za mchongoko ambazo zingekuwa juu kidogo ya hizi economy ya Sasa.
Kwa dalili zilizopo wale wateja wa business kwenye hizi za kawaida wanaenda pungua kwa kiasi kikubwa
Mimi sioni tatizo ya hizi nauli kama mtu hauna uwezo panda zako daraja la kawaida na kama na hapo huwezi subiria nginja nginja inayofikia Dom baada ya masaa 12 au upande basi watu wanaotumia usafiri binafsi dar Dom wanaotumia zaidi ya laki 2 na hao ndio watakao kua wateja wakubwa wa mchongoko , cha muhimu kila mtu ale kwa urefu wa mfuko wake.
 
Unazingua. Haki huwa inaenda na wajibu.

Timiza wajibu upate haki.
Sio kuzingua Tatizo munachukulia mambo simple Sana

Munataka kila kitu tushangilie Tu hata kama mambo yanaharibika no way haiwezi kua hvo kwenye haki tutasema hii haki na kwenye batili au Jambo haliko sawa tutasema Hilo haliko sawa na hii ndio democracy ya ukweli sio kuburuzwa kwenye kila Jambo
 
Didn’t you know that IMF flagged your country for cooking figures?😂😂👇👇👇

View attachment 3136541
Mwaka gani?
What I remember tulikua tunapigwa kila tukiakinzisha mradi, hata hiyo JNHPP tuliambiwa na hao hao tuache nchi itakua maskini, serikali inajenga WHITE elephant etc.

Kiko wapi sasa? Hao Economist si ndio walikua against Magufuli kila kukicha.

Economic war yaani kila kitu walikua wanaweka narrative za kijinga

Soma hiyo

Hatunaga shombo na mabeberu
 
Have you wondered How those so called beggars get into your Godforsaken wretched country without papers on first place ?
Because they are capable of bribing your officials with 500. And so does those you call drug traffickers.
We disturb beggars more so from neighboring countries.
 
Sio kuzingua Tatizo munachukulia mambo simple Sana

Munataka kila kitu tushangilie Tu hata kama mambo yanaharibika no way haiwezi kua hvo kwenye haki tutasema hii haki na kwenye batili au Jambo haliko sawa tutasema Hilo haliko sawa na hii ndio democracy ya ukweli sio kuburuzwa kwenye kila Jambo
Sasa EMU ulitaka nauli iwe kiasi gani?
 
Sio kuzingua Tatizo munachukulia mambo simple Sana

Munataka kila kitu tushangilie Tu hata kama mambo yanaharibika no way haiwezi kua hvo kwenye haki tutasema hii haki na kwenye batili au Jambo haliko sawa tutasema Hilo haliko sawa na hii ndio democracy ya ukweli sio kuburuzwa kwenye kila Jambo
Mkuu ebu tungojee safari za emu zianze, kama kutakua na upungufu wa abiria trc ofcoz watafanya mabadliko ya bei ila mimi na imani hayo mabehewa yatakua yanajaa kwa sababu wale wa magari binafsi wengi watayapaki nyumbani
 
Kabisa. Jamaa hajui headache ya kuendesha gari from Dar to Dodoma.

Fuel ni zaidi ya 180,000 from Dar to Dom plus muda, uchovu na risk.
 
Kiwanda cha mbeya ll na Tanga ni uwekezaji wa serikali kama shareholder wa mbeya cement sio amsons kama yeye, baada ya uwekezaji serikali itakua na hisa zaidi ya 90% mbeya cement
Wewe unaishi Dunia gani? Serikali si mwekezaji Bali Amsons!
 
Back
Top Bottom