Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi ni nini imempleka kwa Master? Remember hivo ndio mlisema ati investors wa Tanzania can’t buy Marcopolo from from Kenya. Now wanang’ang’ania zile zenye ziko AVA😂😂🤣😂
We kijana niwekee hata bus companies yenu yenye Marcopolo za AVA 10 toleo la 2024.

Huyo Tahmeeed tu hizi ruti za Bongo ameweka his best buses maana bila hizo hutoboi.

Kampuni zenyewe haziwezi mudu bus za kueleweka mnaenda kuzijochea malori alafu unatupigia kelele
 
Na ndio next president, huwa anaitukana Kunyaland kama chupi yake lakini sijawahi kumsikia akiongea ujinga kuhusu Tanzania zaidi ya kuimwagia sifa kedekede eti ndio nyumbani kwao 😂😂😂
Kundustan imekua kichekesho kwa Kila mtu, ni wao tu na midomo yao ndio wanajiona wapo mbele. Upeo mdogo.

Huyu mkulungwa hapo Chini ( Chura) ndio most Kundustanians na hiyo view hapo mbele ndio dunia yote ( View from Kalia dudu na Dongo Kundu😂


IMG_6489.jpeg
 
Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?
Soma or Sikiliza CDF story, Anasema viongozi wakubwa wote walifichwa issues ya Magufuli, so ulitegemea waziri aropoke amekufa ambalo ni kosa la Uhaini?
 
Nchi zetu zinategemea Mapato humo humo,kuondoa ushuru sidhani
Ushuru ukiondoka italeta multiplier effect kwa sector nzima ya biashara na huduma. Kutakuwa na utanisi wa mapato kwa nchi maana businesses zitaongezeka, taxable individual incomes itaongezeka na corporate tax pia employent itaongezeka na other logistical and service sectors zita benefit.
Mapato yatakuwa mengi kuliko hizo hizo meagre taxes tunazotegemea.
Increased business volume is directly proportional to tax increase
 
hebu ww tuambie inafanya nn maana mm naona inapita barabarani 😂😂😂

so hio picha inahusiana nn na unachokisema kondoo wewe

leta picha ikiwa ndani inaguswa hata tairi tu 😂😂😂😂
Gate ya Master Fabricator siku hizi ni barabarani? Alafu ilikuwa inapita barabarani ikienda wapi? Siku hizi Ally Star Ina routes za Kenya?😂😂
 
Back
Top Bottom