ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,261
Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?Acha kelele kama mbwa koko wewe.
Ni sahihi taarifa hufichwa pale kiongozi anapokua mgonjwa ili kuepusha tafrani katika serikali.
Ila akifariki huwa INATAJWA CHANZO CHA KIFO,MATIBABU ALIPOANZA KUPATIA HADI ALIPOFIA NI WAPI.
Katika ripoti zote hizo serikali ikiwemo Mabeyo alisema rais alikua Mzena akitibiwa hadi alipozidiwa na kufariki.
Huyu mzee kweli Nyerere hakumpa Uganda kimakosa
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1840019516228546892?t=A84wbI4oadxTf1mAfPz8pw&s=19
Alikua Mzena wiki zote hizo akitibiwa.Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?
Do you have any proof?Alikua Mzena wiki zote hizo akitibiwa.
Na ni lazima atudanganye ili kutuliza hali ya kisiasa nchini.
Hivi unajua kuna watu walikua wana mipango ya unyakuzi wa uongozi walipoona mzee haonekani!?
Huyo Samia bado kidogo asingekua kiongozi.
Tukuletee speech ya Mobeyo!?Do you have any proof?
Kundudwellers hakuna projects za maana? By the way hakuna hospital hapo kenya yenya viwango vya kufikia vya Tanzania.Do you have any proof?
Wewe niambie ni wapi pameachwa nje kwenye hii picha ya Dar. Kijitonyama hadi Posta yote ndaniso nairobi yote imekwisha kwenye picha moja hebu nambie sehemu gani mm sijaona hapo 😂😂😂😂😂😂
Unatuletea picha ya 2011. more than 10 years ago. You live in the past 🤣🤣🤣🤣Wewe niambie ni wapi pameachwa nje kwenye hii picha ya DarView attachment 3110009
📌📌📌🔨🔨🔨
View: https://x.com/The_EastAfrican/status/1840017121574588419?t=cAqrgyQmir8hsJJoooNGag&s=19
My Take: Tuliwapora Uganda na Sasa tumewapora DRC Congo 😁😁
Lugha ya kingereza watoto wadogo wa nursary ndio wanajifunza, Je na wewe ni mtoto mdogo?Wewe kiingereza hukielewi. Kinachoongelewa hapo na unachosema ni vitu viwili tofauti bongolala. Tafuta mtu akutafsirie uelewe kinachosemwa
Mwambie alete airport yoyote kenya inayolingana na Dodoma bus terminal tuone 😁niletee terminal yoyote ya mabasi kenya
📌📌📌🔨🔨🔨
View: https://x.com/The_EastAfrican/status/1840017121574588419?t=cAqrgyQmir8hsJJoooNGag&s=19
My Take: Tuliwapora Uganda na Sasa tumewapora DRC Congo 😁😁
Wacha kufunika aibu bongolala. Kubali tu kwamba haukuelewa kilichosemwa kwenye hiyo link uliyopost.Lugha ya kingereza watoto wadogo wa nursary ndio wanajifunza, Je na wewe ni mtoto mdogo?
Mnamiliki ndege ngapi? 😁Kenya is ahead of Tanzania in aviation industry by far. Have you ever wondered why JKIA alone handles more than doubke the passengers handled by all Tanzanian airports combined?😂😂
Mkiacha kuzungumza kingereza cha Endukashoni, Intanashoni , Libereshoni nitaanza kuwasikiliza.Wacha kufunika aibu bongolala. Kubali tu kwamba haukuelewa kilichosemwa kwenye hiyo link uliyopost.
I have already told him that. Yani jamaa hajaelewa kabisa taarifa aliyoleta inasemaje. Alafu alivyo mjinga hataki arekebishweKizungu balaa.