Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo mazuri tunayotamani kuyaona kutoka kwa Kundustan

"Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake mkoani Ruvuma, leo Septemba 27, 2024 amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kijiji cha Migelegele, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma"

1727592718102.png
 
Ni za tanzania ndio ila nakuambia uhalisia sio huo mkiwa mnategemea data za mitandaon mtapotea ntakupa mfano, kunasehemu nalikuwa nafanya kaz, kwenye upande wa mapato tulikuwa tuna underestimate lakin kiuhalisia tulikuwa tunavuka twice , ishu kwa tanzania usipovuka lengo uko kwa shida, tanzania understimation ni kubwa sana.
Hata kwa GDP tulikuwa tunafanya hivyo hivyo ali mradi tusitokr kwenye bracket ya nchi zinazoruhusiwa ku export everything but arms to European union and other major trade deals.
 
Wewe kiingereza hukielewi. Kinachoongelewa hapo na unachosema ni vitu viwili tofauti bongolala. Tafuta mtu akutafsirie uelewe kinachosemwa
Wewe ndio hujaelewa.Hoja ni kwamba tumechukua soko na DRC na kuacha kutegemea Kundustan.

Kiufupi Kundustan hantubabaishi Kwa lolote.

Nasisitiza hata Soko la Uganda kabla likikuwa linaagiza bidhaa nyingi kutoka Kenya ila Kwa Sasa liko controlled zaidi na 🇹🇿
 
📌📌📌🔨🔨🔨

View: https://x.com/The_EastAfrican/status/1840017121574588419?t=cAqrgyQmir8hsJJoooNGag&s=19

My Take: Tuliwapora soko la Uganda na Sasa tumewapora DRC Congo 😁😁

Kundustan sio mteja Wetu tena wa kutubabaisha.

Kuna kitu hakiko sawa hapa EA and it does not augur well for our community. Haiwezekani we do alot of business na mataifa ambayo yako nje ya trading block yetu kuliko mataifa ya hapa ndani.
East African Community inaenda kufa if something is not done soon. We should do alot of trade amongst ourselves.
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa EA and it does not augur well for our community. Haiwezekani we do alot of business na mataifa ambayo yako nje ya trading block yetu kuliko mataifa ya hapa ndani.
East African Community inaenda kufa if something is not done soon. We should do alot of trade amongst ourselves.
Hilo swala sio la 🇹🇿 pekee,Africa nzima inafanya biashara kubwa zaidi na mataifa ya Nje kuliko Nchi za Afrika zikiwemo jirani.

Katika mazingira ambayo Kila siku Kuna mizozo ya Ushindani usio na Tija baina ya Nchi za Africa sio jambo la ajabu Kwa situation kama hizo.

Niliwahi soma wanasema sababu ni kuwa na bidhaa au Huduma zinazofanana baina ya Nchi ndio inaleta Changamoto 👇👇

View: https://x.com/The_EastAfrican/status/1839597649135026477?t=r96zMHnaMTphsmHcwAglvg&s=19

Note: Kwa Sasa Kuna makubaliano ya kuhimiza intra-Africa trade via AfFTA sijui kama itafaulu.
 
Ameongea kama mtetezi wa wakulima wa Tanzania badala ya Waganda 😆😆😆😆😆

Kwa misingi ya biashara huria sio sawa kuzuia ila ni sahihi kuweka ushauri utakaoweka ushindani sawa sokoni.

Mwisho 🇹🇿 hatutakiwi kuendelea kutegemea masoko ya huruma kutoka Uganda.
Yote sawa lakini ahakikishe anaacha mtu anaelewa umuhimu wa Tanzania kwa Uganda, ukiachana na ukweli sisi ndio tuliwapa uhuru kwa gharama zetu kubwa ni zaidi ya watanzania 1000 walipoteza maisha na uchumi wetu kuvurugika kabisa, tulipoteza zaidi ya trillion 1 za kipindi kile, bado koki ya mafuta yao ipo kwetu, hao wanaosema mchele wetu usiingie Uganda badala yake wa import mwingine kutoka Asia hawana akili, ni bora kama wangekua na uwezo wa kujitosheleza wangeeleweka
 
Back
Top Bottom