ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
utasema mashimo ya karai la vitumbua 😂
View: https://x.com/morarakebasosnr/status/1840124099919589771?s=46
View: https://x.com/morarakebasosnr/status/1840124099919589771?s=46
mwendawazimu ww kapeleka ikafanye nn wakat ni bus la kichina 100% hebu niambie ww😂😂😂😂😂Ally Star kapelekwa Master Fabricator. Expect a new face soon from Master.
Ally Star wamechoka na mikebe ya Mchina anataka vitu original and durable kutoka kwa Master Fabricator😂😂
View attachment 3109808
View attachment 3109809
hebu ww tuambie inafanya nn maana mm naona inapita barabarani 😂😂😂
so nairobi yote imekwisha kwenye picha moja hebu nambie sehemu gani mm sijaona hapo 😂😂😂😂😂😂City of skyscrapers
View attachment 3109918
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja tu na hilo moja jitahidi usitazame nyuma na kabla ya kulala hata hilo litafakari vzr 😂😂😂😂😂😂Eti walikuwa wanajipa moyo kabisa wanaizidi Tz kwa km of paved roads, thubutuuu! Linchi likubwa kama hili ambapo kanchi kao kanaingia zaidi ya mara mbili alafu mikoa yote imeunganishwa kwa lami na bado eti wawe mbele yetu, kama tutasema lami ya kutoka kigoma mpaka Dar tuiweke Kenya basi hakuna county itakosa lami Kenya.
Tuambie ni road gn hii tuhakikishe mana tunawajua ninyi.Last mile Tarmacking. Every part of Kenya is being tarmacked.
View attachment 3109906View attachment 3109907
Mwaka wa 10 huu mna dream kuondoa ma slums lkn ndiyo kwanza yame triple 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mukuru housing projects. Kenya is removing all slums.
View attachment 3109911View attachment 3109912View attachment 3109913
Hii Konza kila siku ipo hivyo hivyo, hakuna nchi hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli zile takwimu ni za kweli kabisa, katika kila wakenya wanne mmoja ni kichaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Baadhi ya wanaspoti wa kike Kenya. Tanzania wangekuwa Miss Tanzania
View attachment 3109925View attachment 3109926View attachment 3109927
Utoto wa kitambo huu hata mm naweza kutengeneza.Watanzania eeh!!
View attachment 3109935
Ndiyo kilichobaki aisee 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii ni international airport au kibanda umiza? Em naomba budget yake kwanzaKisumu airport, better than hile Arusha Mabati mill by far.
View attachment 3109812
View attachment 3109814
Mbona hamna mtu 😂😂😂Unaforce issues, pole sana. 🤣 🤣 🤣
![]()
mradi una miaka 18 😂😂😂😂Hii Konza kila siku ipo hivyo hivyo, hakuna nchi hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mzee kweli Nyerere hakumpa Uganda kimakosa
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1840019516228546892?t=A84wbI4oadxTf1mAfPz8pw&s=19
📌📌📌🔨🔨🔨Daily Dose
![]()
Wanakula mboga mbichi 😂😂😂