ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kibanda cha mabati kiwe threat kwetu? Maybe kwa Malawi.Wivu itakuua kijana hii ni threat kwenye suala zima la utalii kwenu, na bado
Endeleeni kuota.Ngoja uganda aanze ku export mafuta via Tanga port halafu totarudi kwenye huu mjadala wa port volumes between Tz and Kenya
kwikwi kitu cha kujua huyo hawezzi nunua hapo we unadhani tz mtu anapanda ili mradi gariAlly Star kapelekwa Master Fabricator. Expect a new face soon from Master.
Ally Star wamechoka na mikebe ya Mchina anataka vitu original and durable kutoka kwa Master Fabricator😂😂
View attachment 3109808
View attachment 3109809
kwani bomba mlisemaje na mko wapi saa hiiEndeleeni kuota.
Endeleeni kuota.
Kisumu airport, better than hile Arusha Mabati mill by far.KISUMU INTERNATIONAL AIRPORT
View attachment 3109685View attachment 3109684
View attachment 3109688View attachment 3109686
VERSUS NYEGEZI BUS TERMINAL
View attachment 3109690
View attachment 3109692
Airport za kenya ni level ya bus terminal hakuna haja hata ya kuweka airport hapa maana ni mbingu na nchi
Basi ni nini imempleka kwa Master? Remember hivo ndio mlisema ati investors wa Tanzania can’t buy Marcopolo from from Kenya. Now wanang’ang’ania zile zenye ziko AVA😂😂🤣😂athi river
kwikwi kitu cha kujua huyo hawezzi nunua hapo we unadhani tz mtu anapanda ili mradi gari
haha arusha ni airstrip tu we bwege kw ajili ya wataliii, intern`a`tion`al` `a`irport ni kilimanjaro less than 100 km toka arusha , kwahiyo hiyo ndo international airpot ya kisumuuKisumu airport, better than hile Arusha Mabati mill by far.
View attachment 3109812
View attachment 3109814
yaan kwa akili yako unadhni ally anaweza leta gari hapo kwa ajili ya matengenezo, si bora akalitupe polini,Basi ni nini imempleka kwa Master? Remember hivo ndio mlisema ati investors wa Tanzania can’t buy Marcopolo from from Kenya. Now wanang’ang’ania zile zenye ziko AVA😂😂🤣😂
kisumu ni level y bua terminal tuKisumu airport, better than hile Arusha Mabati mill by far.
View attachment 3109812
View attachment 3109814
farm tractor ikiwa kwa airport kisumu kufanya shantingBasi ni nini imempleka kwa Master? Remember hivo ndio mlisema ati investors wa Tanzania can’t buy Marcopolo from from Kenya. Now wanang’ang’ania zile zenye ziko AVA😂😂🤣😂
Mpaka leo mtu bado anapost picha kama hizi, wakati sisi hata hizo twin towers hatupost tena, hawa wakenya washafeli wallahi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Rais anatumia dawa za kulevya alafu unategemea asiwe kichaa? Kweli zile takwimu ni za kweli kabisa katika kila wakenya wanne mmoja ni kichaa.
Eti walikuwa wanajipa moyo kabisa wanaizidi Tz kwa km of paved roads, thubutuuu! Linchi likubwa kama hili ambapo kanchi kao kanaingia zaidi ya mara mbili alafu mikoa yote imeunganishwa kwa lami na bado eti wawe mbele yetu, kama tutasema lami ya kutoka kigoma mpaka Dar tuiweke Kenya basi hakuna county itakosa lami Kenya.hata km 10000 hawjafika bado 😂😂😂
kitu wanaweza hawa kujisifia uongo na data za uongo na kweli