Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hakuna utajiri tanzania na wale wenye pesa wote ni warabu😂😂si
si ajabu wakakuambia mama ngina anapesa kuliko azam.
watanzania wengi hawapendi kuonesha utajiri kuna mtu kama nagi investment (selemani) huwezi msikia ila vuka border tu uone yard moja tu unakuta ina mabasi zaid ya 200 na zipo zaid ya yard 20. ila huwezi mkuta anajikweza na wala hata hajulikani
Imagine Nairobi alone has morw than double the number of Millionares than entire Tanzania.