ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Ndio ukweli ila Sasa huwezi kuwa na uhakika wa compensation ya Mapato yatakayopotea.Ushuru ukiondoka italeta multiplier effect kwa sector nzima ya biashara na huduma. Kutakuwa na utanisi wa mapato kwa nchi maana businesses zitaongezeka, taxable individual incomes itaongezeka na corporate tax pia employent itaongezeka na other logistical and service sectors zita benefit.
Mapato yatakuwa mengi kuliko hizo hizo meagre taxes tunazotegemea.
Increased business volume is directly proportional to tax increase
Hiyo multiplier effects and so fourth huwezi kui measure au estimates in actual figures,imekaa kimatarajio so Serikali zinachelewa kufuta Kwa sababu hizo za kupoteza Mapato..