Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waiting lounge at kisumu international airpot
1727558514288.png


View: https://youtu.be/G8CfGtJBfms?si=en5VPxtDMYKDlzrR
VERSUS
BM COACH WAITING LOUNGE

View: https://x.com/TBoundBuses/status/1696807659624706510
 
Eti walikuwa wanajipa moyo kabisa wanaizidi Tz kwa km of paved roads, thubutuuu! Linchi likubwa kama hili ambapo kanchi kao kanaingia zaidi ya mara mbili alafu mikoa yote imeunganishwa kwa lami na bado eti wawe mbele yetu, kama tutasema lami ya kutoka kigoma mpaka Dar tuiweke Kenya basi hakuna county itakosa lami Kenya.
wenyewe si huwa wanakimbilia kwenye kutengeneza data tu, na ndo maana wanakwambia burudi ina maendeleo ya miundombinu kuliko tz , hiyo burundi yenyewe hata umeme hawana , barabara karibia zote vumbi walingane na tz kweli
 
wenyewe si huwa wanakimbilia kwenye kutengeneza data tu, na ndo maana wanakwambia burudi ina maendeleo ya miundombinu kuliko tz , hiyo burundi yenyewe hata umeme hawana , barabara karibia zote vumbi walingane na tz kweli
Mtu akikuambia hivyo huna haja ya kumjibu, pesa ambayo tumewekeza kwenye infrastructures ni sawa na uchukue Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan and Congo combined.
 
Mpaka leo mtu bado anapost picha kama hizi, wakati sisi hata hizo twin towers hatupost tena, hawa wakenya washafeli wallahi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sasa horofa tatu nchi nzima mtaanza kupost aje? Aibu ndio inawafanya msizipost😂😂
 
kwahiyo unaona hapo ipo gereji au imepaki nje, hapo unaona ina ubovu wowote? unajua kuwa hiyo gari ni mpya haina hat miezi sita .
Ilipigwa ikiingia ndani. Remember Ally Star hana route ya Kenya, so tuambie hapo kwa Master alienda kufanya nini.
 
Back
Top Bottom