Hapana ila tuliwaambia hii michuano ni mikubwa kwenu timu zenu bado hazijafikia level ya kucheza CAF CL NA CCTimu ya Tanzania ndio imebonda Gor ama?
Hapana ila tuliwaambia hii michuano ni mikubwa kwenu timu zenu bado hazijafikia level ya kucheza CAF CL NA CCTimu ya Tanzania ndio imebonda Gor ama?
Tuambie wewe owner ni nani?Kuna mjinga atakuambia Talanta ni ya mchina. Ebu angalieni hapo penye imeandikwa proprietor, mkiona jina ya mchina mnitag 😂😂😂
![]()
Soma hiyo board hapo kwa proprietor utapata jibu😂😂Tuambie wewe owner ni nani?
Gor Mahia wamebondwa bondwa mpaka wamelainika kama mlenda.Soma hiyo board hapo kwa proprietor utapata jibu😂😂
Gor Mahia and other Kenyan teams are just babes in African football.Simba amewahi kumfunga Al ahly mara mbili.
Wewe umewahi kumfunga Al ahly?
Si ulikua unasema Gormahia timu kubwa hapa East Africa!?
Aya umekutana na mkubwa mwenzako wa North Afrika vipi!??
Mmeweka shilling ngapi kwenye huo mradi?Soma hiyo board hapo kwa proprietor utapata jibu😂😂
Handyman to be precise 😁Mikono yake inathibitisha kuwa huyo ni hohehahe. Hana mbele wala nyuma
Na ndiyo ilikuwa timu pekee kumfunga Al ahly, alimaliza michuano kafungwa goli moja tu.mwaka jana yanga katoka 1 vs 1 na al ahly benjamin mkapa 😂😂😂😂😂
RB ndio nani owner sio?
Anajifanya ameshasahau hii 👆 tayari.Lower your expectations😅
View attachment 3096841
Hawa majamaa hunifurahisha. Ukiona ameanza na ''nimebahatika kutembelea Kenya..............'' jua ni jaba inataka kumwagwa. 🤣 🤣 🤣😅 wabongolala kwa story za kujitungia
Ni dhahiri many Tanzanians humu JF waliwahi kufika kenya na wanapost picha humu unlike you fool, unatuambia umewahi kufika Bongo but no pictures.. tangu ni join huu uzi nina uhakika na mkenya mmoja tu kuwahi kufika Tz yule jamaa wali mu expose akaamua kukimbia uzi.Hawa majamaa hunifurahisha. Ukiona ameanza na ''nimebahatika kutembelea Kenya..............'' jua ni jaba inataka kumwagwa. 🤣 🤣 🤣