Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii game Gor mahia alikua anakufa nyingi sema naona Ahly waliwaonea huruma tu.
Beki hawana hawa,yani beki wawili wana mark mchezaji na wanashindwa kumzuia??
Halafu beki hizi ndio zikumbane na Max Nzengeli,Prince Dube, Clement Mzize au Pacome ama Azizi ki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Shida ni kwamba timu zao huwa hazifiki group stage, eti mkenya anasema kabisa Gor Mahia inaweza kuifunga Yanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aangalie simu unayotumia kwanza huyo Bushman 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ni maskini wa kutupa wa kutupa huyo mbwa 😂😂😂 anatumia sijui simu gani. Cheki mikono yake sasa 👇🏾
IMG_1340.png
wonderful enough he is claiming to have soft hands. 😂😂😂😂 vidole kama tangawizi.
 
Shida ni kwamba timu zao huwa hazifiki group stage, eti mkenya anasema kabisa Gor Mahia inaweza kuifunga Yanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weeee kwa kile kikosi chao wakutane na Yanga pacome,Aziz na Nzengeli wamewaka!??
CR belouzdad Bingwa wa Algeria kafa 4-0 kama kasimama.
Sembuse Gormahia!??
Na zile beki zao zinavyokatika!?
Wallahi watacheza nusu uwanja.
 
Uko na akili za ufukara sana. Sasa mtu akipanda matatu ni maskini?

Usilazimishe wote wakuwe maskini kama wewe.
Kupanda matatu symbolises poverty. 😂😂😂

There is no way ukute mtu tajiri et a opt kupanda matatu, unsafe means of transport. Kubali maisha yako.
Wewe ni maskini mmoja.
 
Ni maskini wa kutupa wa kutupa huyo mbwa 😂😂😂 anatumia sijui simu gani. Cheki mikono yake sasa 👇🏾View attachment 3097327wonderful enough he is claiming to have soft hands. 😂😂😂😂 vidole kama tangawizi.
Ebu tuonyeshe yako. I have soft hands and nobody can’t dispute that. Wewe najua mateso imekukula hadi uko na mikono ngumu kama chuma.
 
Kupanda matatu symbolises poverty. 😂😂😂

There is no way ukute mtu tajiri et a opt kupanda matatu, unsafe means of transport. Kubali maisha yako.
Wewe ni maskini mmoja.
Sawa fukara, na ntaendelea kupanda matatu.
 
Ebu tuonyeshe yako. I have soft hands and nobody can’t dispute that. Wewe najua mateso imekukula hadi uko na mikono ngumu kama chuma.
Hiyo mikono sio soft, vidole kama tangawizi, symbolises the hutles you been through 😂😂😂
 
Back
Top Bottom