Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kwani AVA siku hizi ni kampuni ya kichina?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

1726408876804.jpeg
 
Baadae usije leta mdomo ukiona imesogea. Ukijidai eti 30k seater inaisha haraka.

Wakati umesema imekwama.
Mbona mnajaribu kulinganisha ardhi na mbingu? Hii nguvu ya kulinganisha Talanta na hiyo takataka mnatoa wapi?
 
We mbwa kwanza kibao cha mradi nje unaweza kukisoma?
Ebu tuonyeshe hicho kibao inasema mchina anamiliki TalantaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

For me I can show you the one saying the stadium is owned by Kenya.
 
The husband of all Kenyan teams aka mme choko leo ni mwendo wa ndizi maini tuu. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Remember Yanga na Simba wote walikula bao tano mkononi mwa Al Haly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom