Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Headache kwa watanzania.

1726417571615.jpeg
 
Ebu tuonyeshe hicho kibao inasema mchina anamiliki Talanta😂😂😂🤣😂.

For me I can show you the one saying the stadium is owned by Kenya.
We nawe, mbona hata EXPRESSWAY proprietor ni KENHA ila maokoto yanaenda kwa Juma Sharobaro kwanza miaka 30?

au unadhani wote wajinga humu?
 
We nawe, mbona hata EXPRESSWAY proprietor ni KENHA ila maokoto yanaenda kwa Juma Sharobaro kwanza miaka 30?

au unadhani wote wajinga humu?
Ebu tuonyeshe hicho kibao cha Expressway. Unajua vitu unasema ama ni guesswork na maumivu tu? Ama maana ya proprietor ndio hujui?😂😂
 
SGR, EXPRESSWAY Proprietor walikua nani? Mwisho nani anakusanya mpunga?
Ebu tuonyeshe tuone proprietor ya Expressway. 😂😂🤣😂.

SGR ya Kenya is loan just like ya Tanzania and Ethiopia😂😂🤣😂
 
I earn almost 10x of whatever you are earning so usijaribu kujilinganisha na mimi😂😂🤣😂
Alafu mwisho wa siku Raisi anawasafirisha kama vibarua uarabuni, jana Ujerumani walikana.

Alafu hiyo 10x ikiguswa na 50 bob tax unaingia barabarani sio?
 
Wakati Safaricom is posting profits za Ksh63B nyinyi bado mnafurahia Vodacom kupata Ksh 2B profit?😂😂🤣😂
Ndio shida yako, kesho ukiletewa watu wanahama Starlink na Safaricom inawaibia na monopoly unapotea.
 
Back
Top Bottom