Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninyi tungewafilimba goli nyingi zaidi ya hizo.
Maana hao Al ahly wakijaga benjamin mkapa huwa hawatoki salama.
Yet no Tanzanian team has ever defeated Gor Mahia since 1975😂😂🤣😂
 
1)Onesha kwanza unapoishi ama ulipopanga maana najua hauna nyumba we mpangaji.
Wewe ndio umesema tufanye comparison, it’s up to you to start then I counter. Ama unadhani sikujui? Utakimbia hapa after nimekuonyesha😂😂🤣
 
Back
Top Bottom