Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka hapa maana ya van from English dictionary nitoke JF sasa hivi.
Unafikiri mzungu ni mjinga aite gari ya abiria van kwani anabeba mihogo humo ndani.
Umeiweka mwenye ila kuelewa ndio umeshindwa. Soma kile ulichoweka polepoooole utaelewa.
 
Mbona umeniquote ukaondoa ile translation ya neno van kwenye dictionary.
Ujanja ujanja mdogo kama huu ndio huwaaribia mambo mengi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna kitu nimetoa, ni wewe ndiye hujui kuattach picha kwa post. Vitu basic hujui, Kiingereza hujui.
 
Nyuma ya mall kuna depot mbona kitambo tu, eneo linalojengwa depot kubwa ku replace ile ya pale jangwani ni pembeni ya kituo cha daladala simu elfu mbili ambapo kimsingi ni eneo la soko la machinga, ndio mana juzi kati waligoma jamaa.
Unajua hawa waandisho wetu ni shida kuelimisha wstu vizuri unaweza kukuta hapo inajengwa ubungo terminal ambayo itakutanisha mabasi ya morogoro road sam nujoma na Mandela ila wao wanasema depot.
Maana hapo junction inahitajika terminal kubwa.
 
Mkuu mimi hawa jamaa ni jirani zangu sana... Ni mwendo wa kutembea tu kuingia kwako..

Kwa sasa wao ndio wana import sabuni kutoka Bongo... Sunda na mambo yao ya kleensoft wame leta mapinduzi makubwa sana kwenye sabuni na detergents. Sabuni za Bongo zinagombaniwa sana kunyaland maana ni bei rahisi na zinatakatisha bila kuharibu mikono. Hata sabuni yao ya kipande ya jamaa now kuna mbadala zipo nyingi

Mafuta ya taa tu ndio kitu kinanunulika kwa wingi kutoka kwao... Cement kuna mchina ameweka kiwanda KLM huko hata twiga cement watu hawana habari nayo
😅 wabongolala kwa story za kujitungia
 
Tuoneshe hizo offices.
1726386640145.jpeg
 
elewa swali nimekuuliza mini bus inaanza kubeba watu wangap???😂😂😂
Wewe unakuanga mjinga sana. Passenger number can’t be used to determine the type of a vehicle. A 15 meter bus can be modified to carry only 10 passengers and a 8 meter mini bus can be modified to carry 44 people. That’s why length is usually used to differentiate between a coach and a minibus. Anyway, I don’t expect you to know much since your knowledge is usually next to zero.
 
Office za mabasi yote ziko hapa na raia wanapandia hapa??
Kama kawaida yako umerukia discussion bila kujua ilikotoka na inakoenda. You are a foolish quack😂😂😂🤣
 
Onesha ofisi tafadhali acha janjajanja gari yoyote inaweza ikapigwa picha nje ya jengo lolote lile. 🤣🤣🤣🤣
So Huoni hapo kama imeandikwa Mash? Bro unakuanga mjinga sana. Hujuangi kusoma ama?
 
Kama kawaida yako umerukia discussion bila kujua ilikotoka na inakoenda. You are a foolish quack😂😂😂🤣
Usitafute kisingizio bro,ila nishakuzoea.
Uliletewa picha ya stendi ya mabasi ukadai zile ni stendi za mini bus ambazo zinaenda masafa mafupi.
Ukasema bus kubwa za route ndefu zina office zake hazihitaji kubanana hapo.Au siyo wewe!?
Nikakwambia lete picha ya hizo offices,ukaleta picha moja.
Ndio nakuuliza tena kwahiyo office hiyo ndio ya makampuni yote ya bus!??
Jibu ndio au hapana.
Acha usenge.
 
Usitafute kisingizio bro,ila nishakuzoea.
Uliletewa picha ya stendi ya mabasi ukadai zile ni stendi za mini bus ambazo zinaenda masafa mafupi.
Ukasema bus kubwa za route ndefu zina office zake hazihitaji kubanana hapo.Au siyo wewe!?
Nikakwambia lete picha ya hizo offices,ukaleta picha moja.
Ndio nakuuliza tena kwahiyo office hiyo ndio ya makampuni yote ya bus!??
Jibu ndio au hapana.
Acha usenge.
What’s the meaning of their offices according to you? Underline the word offices.
 
Back
Top Bottom