Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni dhahiri many Tanzanians humu JF waliwahi kufika kenya na wanapost picha humu unlike you fool, unatuambia umewahi kufika Bongo but no pictures.. tangu ni join huu uzi nina uhakika na mkenya mmoja tu kuwahi kufika Tz yule jamaa wali mu expose akaamua kukimbia uzi.
Wewe maskini wa JF kazi yako ni kuitisha picha za watu wakati wewe mwenyewe hujawai toka nje ya Vumbistan? Nakumbuka ulishindwa challenge ya Rhaenyra Targaryen kupost tu picha Moja ukiwa nje ya Vumbistan alafu upo unataka tujadili mambo ya usafiri? Endelea kupost vile vipicha vyako vinakaa baboon na usiniharibie wakati.😂😂😂
 
RB ndio nani owner sio?
RB is the constructor. Owner is GOK😂😂👇👇

1726466958244.png
 
Wewe maskini wa JF kazi yako ni kuitisha picha za watu wakati wewe mwenyewe hujawai toka nje ya Vumbistan? Nakumbuka ulishindwa challenge ya Rhaenyra Targaryen kupost tu picha Moja ukiwa nje ya Vumbistan alafu upo unataka tujadili mambo ya usafiri? Endelea kupost vile vipicha vyako vinakaa baboon na usiniharibie wakati.😂😂😂
Huyo fukara utamua kwa stress😂😂, Umesema aendelee kupost hii?😂😂🤣😂😂

IMG_0519.jpeg
 
Bro, utafanya hii jangili ijitie kitanzi manzee. 🤣 🤣 🤣
Umaskini ni kitu mbaya sana. Kuna siku jamaa alijaribu kutudanganya ati anafanya importation business Kumbe jamaa ni errand boy wa mwarabu pale Kariakor😂😂🤣😂.

Hiyo siku nilicheka sana, alafu jama kalidelete hizo comments and screenshot zote after I exposed his lies. I think anatamani sana kuwa na maisha mazuri and that’s why akinunua viatu vya 500 bob anapost huku, akikula smocha na soda ya 120 pia anapost hapa😂😂🤣😂
 
Lwizer54
Ni dhahiri many Tanzanians humu JF waliwahi kufika kenya na wanapost picha humu unlike you fool, unatuambia umewahi kufika Bongo but no pictures.. tangu ni join huu uzi nina uhakika na mkenya mmoja tu kuwahi kufika Tz yule jamaa wali mu expose akaamua kukimbia uzi.
 
eti huu ni uwanja wa kucheza na al ahly hvi kwann kenya inatutia aibu😂😂😂

nyayo stadium ndio hii imekula pesa yA renovation mara mbili n watu wamekula pesa

View: https://www.instagram.com/reel/C_8QA7puJQS/?igsh=bm8zNnM1dXR1YjE4

Hii game Gor mahia alikua anakufa nyingi sema naona Ahly waliwaonea huruma tu.
Beki hawana hawa,yani beki wawili wana mark mchezaji na wanashindwa kumzuia??
Halafu beki hizi ndio zikumbane na Max Nzengeli,Prince Dube, Clement Mzize au Pacome ama Azizi ki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
 
watu wanaongelea 2024 mzee dunia hairudi nyuma 😂😂😂😂😂

kilichopo nyuma ni hostoria tu na sio uhalisia 😁😁😁😁
Huyu anakua kama kuku aliyekatwa kichwa.
FKF league ilifungiwa zaidi ya miaka miwili.
Sasa atuambie kipindi hiko Gormahia ilikua inapata wapi mapato ya timu??
 
Wewe maskini wa JF kazi yako ni kuitisha picha za watu wakati wewe mwenyewe hujawai toka nje ya Vumbistan? Nakumbuka ulishindwa challenge ya Rhaenyra Targaryen kupost tu picha Moja ukiwa nje ya Vumbistan alafu upo unataka tujadili mambo ya usafiri? Endelea kupost vile vipicha vyako vinakaa baboon na usiniharibie wakati.😂😂😂
Non of them une tag hapo amewahi kutoka Kenya pamoja na wewe 😂😂😂😂 utoke nje ya Kenya usipost we mbwa na ushamba uliokuanao. 😂😂😂
 
Umaskini ni kitu mbaya sana. Kuna siku jamaa alijaribu kutudanganya ati anafanya importation business Kumbe jamaa ni errand boy wa mwarabu pale Kariakor😂😂🤣😂.

Hiyo siku nilicheka sana, alafu jama kalidelete hizo comments and screenshot zote after I exposed his lies. I think anatamani sana kuwa na maisha mazuri and that’s why akinunua viatu vya 500 bob anapost huku, akikula smocha na soda ya 120 pia anapost hapa😂😂🤣😂
Unadhani mimi ni wewe mpanda matatu .? 😂😂😂 👇🏾
IMG_1337.png
 
Back
Top Bottom