ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Debt 😂😂Mara ooh, Tanzania ni Rafiki wa China and yet China is investing in Kenya😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3089425
Debt 😂😂Mara ooh, Tanzania ni Rafiki wa China and yet China is investing in Kenya😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3089425
Mlizoeaga kuleta picha za kupotosha za Mbeya 👇👇
Sijui kama hata Anatomy ulisoma ukaelewa. Et nail discoloration/white spot bla bla HIV😅Kuna kitu kinaitwa bathing net/cloth, that’s its job. No wonder kucha zenu huwa na uchafu through out😂😂🤣👇👇👇
View attachment 3089359
Bro ujuaji mwingi haukusaidiii kitu.
Sahihi ni Candida na hawa husababisha magonjwa ya candidiasis kwa mfumo tofauti tofauti.
Narudi kwa clostridium difficile.
Huyu mdudu anaenezwa kwa njia ama akiwa katika stage ipi?
Je larva au spore??View attachment 3089377
Kaka huy achana naye ujuaji mwingi, hyo Clostridium difficile kaandika C. difficle mara mbili😂Basi wewe utakuwa Clinical officer bonoko sana😂😂🤣.
Hizo dettol and Tetmosal soaps can’t kill Clostridium difficle.
Alafu I doubt if you really did Microbiology let alone passing in its exam. How do you start to right a nomenclature name kijuakali hivo? Ati Canida Albicans, did you even attend introduction to microbiology kweli?😂😂😂
hapa lazima utapikeUkiachana na dini kiubinadamu wa kawaida tu kaka karatasi zile hazisafishi vizuri puru.
Puru linabaki na chembechembe ya kinyesi na pia harufu inabaki.
😂😂😂😂Aisee Kenyans ni wachafu.
Halafu ukute unakamata dem ya Kikenya unaipigisha doggy style.
hawa wameletewa tissue kwa sababu walizoea kupangusa kwa kutumia majani sasa mchina akaona fursaa ikabidi ajenge kiwanda kabisa cha tissue ili kuwaokoa na upupuHatutaki uchafu sisi.
Yani nijipanguse na karatasi kesha ninuke kinyesi!??
Mambo yashapitwa na wakati hayo, kwa sasa tuna deal na mambo kwa ground mzee.Watanzakundu bana, utaskia wanakwambia Kenya ilibebwa na wazungu wakati 2003 ndio tulianza kuwapa gap 😂View attachment 3089538
Hebu Google uone kama hizo ni slum? Hutopata slums in Tanzania usifosi tufanane.Most unplanned slumpolis in AfricaView attachment 3089543
acha kuwaumiza wakenyaAiseee napita hapa Chang'ombe flyover, hii tunnel ya electrified SGR all the way to the port of Dar es salaam naona now wapo serious nalo, linasonga tu, na wameanza kulifukia. After completion sidhani kama kutakuwa na nchi Africa hii yenye infrastructure like this.
Tutaanza kuwacharge kwa kuoveruse Tanzania as your marking scheme, inafu iz inafu
View: https://x.com/KenyanSays/status/1832353008585163211?t=hPeexvNXyu_XXcxwEY3X_w&s=19
Huu uwanja ilipaswa muuvunje wote muanze upya.
miaka kumi hakuna hata kiwanda chochote kilichojengwa
Siyo Miaka kumi ndugu yangu. Project ilianza mwaka 2008. Ni zaidi ya miaka 16miaka kumi hakuna hata kiwanda chochote kilichojengwa