Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Suala la kujisafisha na maji sio la uislam acha UFALA.
Tanzania waislam,wakristo,wapagani kila mmoja hujisafisha kwa maji.
Na toka tuko wadogo unakuta tunaelekezwa kujisafisha na maji.
Nenda hata shule za serikali za Tanzania vyooni wameweka maji na makopo sio toilet paper you fool.
Kwahiyo Tanzania is an Islamic state!!??

Wakenya mijitu michafu sana.
Hivi kipindi umezaliwa ukiwa umejinyea mama alikua anakusafisha na tissue!??
Usisahau pia suala la maji huko kwao ni mtihani.
 
Is this what you said early bongolala? Didn't you say aliwahi kuwa Secretary General?

And it's called Secretary General, not general secretary as you put it.

Migiro wenu alikuwa Deputy Secretary General kenge wewe and the whole world knows that. Don't force issues
Ona hii kuku inaongea nini.
Hapo nimekuwekea title mbili naona moja umeivuka.
Mlete Mkenya aliyewahi kuhudumu nafasi kama ya Migiro.
 
Haya ndiyo mambo yaliyofanya Tanzania kuwa na uchumi mkubwa na sarafu yenye nguvu zaidi ukanda huu na nchi nyingi tu Africa lkn kina mkapa waliharibu kila kitu na kuturudisha nyuma na privatisation yao.
Sidhani mkapa alikua na choice asee IMF, WB na structural adjustment programme ndio zilidemand kucut government spending.

Nadhani angetoka Nyerere aingie mkapa kungekua na unafuu, Mwinyi kaweka Ruxa nyingi asee.

Kupata Magufuli mwingine anayejua kuspend domestic revenue si kazi rahisi.

Unakusanya Trilion 3 na kelele juu kwa mwezi why 500b usiziweke mradi wa kimkakati very demanding kwa wananchi, tuseme 3Trl, uwe unalipa installement kidogo kwa miaka kadhaa ya ujenzi huo.

JNHP Trilion 6 iliwezekana bila taabu ifi unakusanya 3Trillion kwa mwezi, miaka 3 ukiwa unategea 50+bl kila mwezi bwawa hili hapa miaka mitatu bila tabu yoyote

Cha ajabu unasikia bil 100 zimepotea halmashauri, bilion zingine miradi hewa, nyingine tenda hewa, nyingine zimenunua chapati 😂😂😂.

Aliposema Tanzania ni Tajiri hatukumuelewa ila ukianalyaze kwa makini inawezekana kabisa kufanya mambo ya kitajiri through Domestic revenue kwa nchi.

Hata tukiamua 6 lane Expressway from Dar to Mwanza via domestic revenue kwa target ya miaka kadhaa inawezekana.

Now miradi naona ni mizuri nimpongeze Mama naona kitu atleast hajaharibu miradi mingi iliyoachwa.
 
Unaongea ni kama Tanzania Iko mbinguni na watu hawajawahienda. Kama kila mtu Tanzania hutawadha, zile makampuni za kutengeneza tissue papers zilizopo Tanzania zinatengeneza hizo tissue paper Kwa ajilj ya akina nani.

Nilisema kwamba if it's about personal hygiene, huyo kilaza wenu wala haingekuwa na makucha machafu design ile
Mr. Red Eyes, tissue zipo kwa ajili ya kujifuta baada ya kutawaza kwa maji, acha uchafu bwege wewe.
 
Tanzania toilet paper hutumika katika majumba machache sana.
Pia toiltet paper nyingi huwekwa sana sana maofisini na maeneo mengine kama malls,hotels n.k n.k.
Na ukute kukawa na matumizi machache.
Kuhusu jamaa mimi sihusiki hilo jambo lake binafsi.
From "watanzania wote hutawadha" to "toilet paper hutumika katika majumba machache" and "Yana matumizi machache"

Wewe ni wa kupuuzwa tu
 
Tawadha na kucha zako basi watchman
Fungulia tap juu ya mstari wa tako kwa pressure kuelekea chini kwanza then unakuja kujisafisha zaidi na mkono wako wa kushoto baada ya dakika 1 ya uchafu kuondoka, ila siwashangai sababu hamna maji ya kunywa ya kuchambia mtoe wapi? Sasa wale masikini wa vijijini huwa wanachambia nini? Probably mawe au magunzi ya mahindi

images (14).jpeg

images (16).jpeg
 
Sidhani mkapa alikua na choice asee IMF, WB na structural adjustment programme ndio zilidemand kucut government spending.

Nadhani angetoka Nyerere aingie mkapa kungekua na unafuu, Mwinyi kaweka Ruxa nyingi asee.

Kupata Magufuli mwingine anayejua kuspend domestic revenue si kazi rahisi.

Unakusanya Trilion 3 na kelele juu kwa mwezi why 500b usiziweke mradi wa kimkakati very demanding kwa wananchi, tuseme 3Trl, uwe unalipa installement kidogo kwa miaka kadhaa ya ujenzi huo.

JNHP Trilion 6 iliwezekana bila taabu ifi unakusanya 3Trillion kwa mwezi, miaka 3 ukiwa unategea 50+bl kila mwezi bwawa hili hapa miaka mitatu bila tabu yoyote

Cha ajabu unasikia bil 100 zimepotea halmashauri, bilion zingine miradi hewa, nyingine tenda hewa, nyingine zimenunua chapati 😂😂😂.

Aliposema Tanzania ni Tajiri hatukumuelewa ila ukianalyaze kwa makini inawezekana kabisa kufanya mambo ya kitajiri through Domestic revenue kwa nchi.

Hata tukiamua 6 lane Expressway from Dar to Mwanza via domestic revenue kwa target ya miaka kadhaa inawezekana.

Now miradi naona ni mizuri nimpongeze Mama naona kitu atleast hajaharibu miradi mingi iliyoachwa.
Daaah eti hela nyingine zimenunua chapati😅😅😅😂😂😂.
 
Kuna miradi natamani serikali iangalie ni Outer Ring Roads kwa miji iliyobusy. Tufanye Dodoma ni 110km.

Ifanywe Arusha, Mwanza, Moro, Mbeya. Ili kuingia na kutoka iwe rahisi with Transportation sector booming.

Wafikirie na Dar 8 lane Outer Ring Roads. Hizi 4 au 6 naona hazitoshi nowdays.
 
Fala wewe mahospitalini kuzuia maambukizi ya Clostridium difficile infections hutumika alcohol based gels,sabuni zenye walau 10% ya Sodium chloride/Sodium hypochlorite na vimiminika vingine ambavyo ni alcoholic based.
Na ukiitizama dettol moja ya ingredients zake ni Sodium chloride.

Halafu nakaa nabishana na hii pang'ang'a hapa.
Leta evidence that Sabuni can kill Clostridium difficle😂😂😂.

I just want you bring a support document showing that soap can kill C. difficle.
 
Mara ooh, Tanzania ni Rafiki wa China and yet China is investing in Kenya😂😂🤣🤣👇👇

1725703938998.jpeg
 
The only African ever to become the UN Secretary General is Koffi Anan. Hakukuwa na mwingine before him na hakujakuwa na mwingine after him.

Ignorance yako ni ya hali ya juu bongolala
Hajakuandikia DEPUTY GENERAL SECRETARY?
 
Back
Top Bottom