Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui kama hata Anatomy ulisoma ukaelewa. Et nail discoloration/white spot bla bla HIV😅

(Mtaalamu wa mahabala unaniangusha🤣)

View attachment 3089595View attachment 3089596

#Na kwa taarifa yako hyo ni sign of being healthy.
Huyo mnuka nnyaa ana wivu anatafuta sababu ya kuondoa maumivu kutokana na bakora ninaziwapiga humu yeye na wenzie kiberawalker na yule Mr. Red Eyes 👀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Bro tufanye umeshinda.
Still unarudia kosa,am not talking about just any kind of soap,am talking about medicated soap.
Aya umeshinda 😂😂😂😂😂.
Even the medicated soap can’t kill all bacteria.
 
Tanzania tuna uwekezaji wa kirafiki mwingi sana na China.
Kwenu China kaja kiroho mbaya kiroho ya kichagga.
Pesa ni pesa. Whether ni kidogo mbaya ama urafiki zote ni pesa😂😂🤣😂
 

Hatunaga kazi mbovu, tulia uone huu uwanja ukikamilika alafu uone na wao, itakuwa mbingu na ardhi, alafu kingine hapo kwenye maelezo unaona kabisa GoT inatoa pesa lkn jamaa hawatoi hata mia kumaamaeee, tuna debate na mafukara wa kiwango cha juu mnoo, hakuna mradi serikali yao inatoa pesa na bado wanajisifu kulipa kodi ilihali pesa yote watu wanalipana mishahara, no future in Kenya.
 
Kaka huy achana naye ujuaji mwingi, hyo Clostridium difficile kaandika C. difficle mara mbili😂
Kwani inafaa kuandikwa aje? Ama wewe pia hujui anything about Binomial nomenclature?
 

Hawa wanawake!? Mbona Tanzania mna sura ngumu hivi!? Wasichana kama wanaume vile!? 😳😳
Screenshot_2024-09-07-20-28-03-40_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Angalia Kenya U17
Screenshot_2024-09-07-17-56-02-62_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Angalia wanariadha. Huyu ni Faith Kipyegon.

20240907_200827.jpg

Kenya Police Women
20240902_132933.jpg

Kipyegon and Beatrice Chebet
20240815_134959.jpg

20240815_134903.jpg
 
Onyesha matokeo Timu ya Wanawake wa Kundustan wenye sura nzuri tuone 😂😂
Acha mengi. Tukutane na hao wenu muone. Juzi hao Kenya polisi wamewafanyia kitu hao sijui ndio Taifa what Fc. Hakuna siku hizo vitimu vyenu vitawai shinda timu za Kenya.
Iwe hiyo Yanga yenu hata Kariobangi itaigwara.
 
Back
Top Bottom