Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna timu ?
Every time we meet!!!
Screenshot_2024-09-07-21-43-56-98_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Wakati JPM anatengeneza strategic plan za kumaliza tatizo la umeme Tanzania wao walikuwa wako bize kaenda kutibiwa na kufia kwao
Acha tu yule mzee asee. JNHP, ufumuaji wa Transmission line, Shared hydro power na nchi jirani.

Nakumbuka enzi zake REA ni Tsh 28k tu kuunga na unit za kutosha.

Nadhani alitaka kuunga wengi ili Surplus isiende bure.
 
Hunambii chochote kuhus binomial nomencluture😄

Yan wew ulieshindwa kuandika neno sawasawa unajiona smart😂
Ebu niambie ilifaa kuandikwa aje na nikaandika aje? Jamaa wako aliyejifanya anajua Biology alishindwa sasa wewe ndio utaweza?
 
Back
Top Bottom