Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yap umepewa mpaka October ambayo inaonesha ziko above ulichoweka wewe .Mimi nimekuonesha tu kuwa mpaka October exports za Tanzania ziko above your yearly exports.
Unajua year ending October calculates data for 12 months, nivile hizo miezi mbili zimebaki unatumia data ya the 2 months for the previous year ndio ikue a rolling 12. I hope umejifunza kitu mpya leo wewe kama primary school dropout.
 
So you are assuming everyone is employed by the government and they depend on the government for salaries? 😂 😂 😂 Relax, you are reasoning like a fool.

Did you get the formula kwanza in gdp calculation .
Unaweza tumia remittance ambayo ndo source ya forex kwenu na ndo maana tuwaambia Kenya gdp is consumption based gdp sababu 70 % inategemea remittance na mikopo kwa upande wa serikali and a product of service produced in the country.
An economy inatakiwa consumption yake iwe mixed ibebwe na productivity within the country sio transfer Toka nje.
Being that watu wanatoka kenya wanaenda kufanya zalisha sehemu nyingine na kutuma transfer nyumbani ambazo zinatumika kufanya household consumption na economically huwez hesabu kuwa remittance ni source ya revenue kwa gdp yenu ni kama mkopo tu kwenye vitabu vya mahesabu kwa sababu lazima zitapeleka deficit tu au negative balance . Ili economy iwe sawa internal production inatakiwa iwe balanced
 
Sounds like you've never been to a bank. Wewe unadhani unapewa tu loan hivo hivo bila chochote? Are you aware you have to show capacity of repaying a loan for you to get one? Ingekuwa raisi hivo mbona nchi hohehahe kama South Sudan zisikope na kujenga uchumi? Bongolala education system iko na shida sana.
Did you get the gdp formula I gave you when calculating the gdp. Stop being nincompoops everything is explained .wewe huwez nifundisha Mimi kuhusu bank sababu hata simple economics huzijui.
Kwahiyo ukiambiwa gdp yenu ni mikopo unategemea mtu binafsi akakope, serikali ikikopa kufanya matumizi kama invyoelezwa kuwa 70% ya forex reserve imebebwa na remittance na loans ni sawa na kukuambia serikali imekopa kwa niaba yako ili ukikulipe salary ukafanye matumizi
 
Unajua year ending October calculates data for 12 months, nivile hizo miezi mbili zimebaki unatumia data ya the 2 months for the previous year ndio ikue a rolling 12. I hope umejifunza kitu mpya leo wewe kama primary school dropout.
Y

Yes uko sawa ila kwa east Africa financial year inaanzia July na kuishia June. Hatuna reporting ya kuishia October na ndo maana huwez Kuta financial report yoyote ya east Africa za serikali zikiishia December,
Ila bado haileti utofauti kuwa uli understate value ili uonekane mna commodity export kubwa kuliko tz , correct your estimate to 17bil mpaka Oktober
 
This is Kawangware Slum. What you call middle class areas in Tanzania are slums in Kenya.
Kawangware is the outskirt of Nairobi
Kigamboni is the outskirt of Dar
Screenshot_20260411-224049.jpg
 
Did you get the formula kwanza in gdp calculation .
Unaweza tumia remittance ambayo ndo source ya forex kwenu na ndo maana tuwaambia Kenya gdp is consumption based gdp sababu 70 % inategemea remittance na mikopo kwa upande wa serikali and a product of service produced in the country.
An economy inatakiwa consumption yake iwe mixed ibebwe na productivity within the country sio transfer Toka nje.
Being that watu wanatoka kenya wanaenda kufanya zalisha sehemu nyingine na kutuma transfer nyumbani ambazo zinatumika kufanya household consumption. Wehu nyinyi
What's the point of having a big GDP when your people don't have the spending power. Unadhani US inashindia China nini? The average American consumes more than an average Chinese. Na ndio maana China is aiming to shift from producer based to consumption based economy by increasing from 40% to 60% consumer based. Kuna tofauti ya serikali kua na pesa na wananchi kua na pesa. Washajenga nchi yao sasa wanataka wachina wengi wakue matajiri kama other fully developed countries.
 
Y
Yes uko sawa ila kwa east Africa financial year inaanzia July na kuishia June. Hatuna reporting ya kuishia October na ndo maana huwez Kuta financial report yoyote ya east Africa za serikali zikiishia December,
Ila bado haileti utofauti kuwa uli understate value ili uonekane mna commodity export kubwa kuliko tz , correct your estimate to 17bil mpaka Oktober
Sio data zote hua released na fiscal year ya serikali. Stay guided, financial year sana sana hua ya kufanya budget, most data wanatumia the four quarters of a year.
 
What's the point of having a big GDP when your people don't have the spending power. Unadhani US inashindia China nini? The average American consumes more than an average Chinese. Na ndio maana China is aiming to shift from producer based to consumption based economy by increasing from 40% to 60% consumer based. Kuna tofauti ya serikali kua na pesa na wananchi kua na pesa. Washajenga nchi yao sasa wanataka wachina wengi wakue matajiri kama other fully developed countries.
USA Gdp has mixture of high productivity plus high internal consumption Kenya productivity yenu haibalansi na productivity .
Kenya consumption is highly consumption with imbalanced internal production .
 
Sio data zote hua released na fiscal year ya serikali. Stay guided, financial year sana sana hua ya kufanya budget, most data wanatumia the four quarters of a year.
Financial data huwa inapatikana kwa financial statements huwez Kuta audited quarterly financial report .
Na ndio maana baada ya mwaka huwa watu wanakaa wanafunga hesabu ,huko utakutana na adjustment kibao na correction kibao.
 
Back
Top Bottom