Bro naona unataka ligi sasa.Medicated soaps helps but not always in skin conditions such as eczema, psoriasis, keratosis etc.
Hivi unajua kama ngozi nayo ina normal floras ambao wanalinda ngozi!?
Na kwa kitendo cha kutumia sabuni yenye dawa unawapa nguvu wale normal flora kuvunja uwezekano wa vijidudu hatarishi kuzaliana katika ngozi husika!??