Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm ni mkristo siwezi kutumia karatasi na hatujazoea hivyo huku Tanzania haijalishi ni dini wala tunatawadha kwa MAJI sio karatasi nikikuta chooni kwako kuna karatasi siwezi kujisaidia chooni kuna maji na sabuni huko kwenu vipi
Huyo jamaa reasoning yake ni ya kipumbavu sana.

Issue ya kutumia maji kwenda Kwa choo is a religious one. Muslims do this all over the world. Yeye huenda ni Muislamu so he's basically doing what his religion requires of him.

If it's a matter of personal hygiene, makucha zake hazingejaa gundo la chafu kama tulivyoona kwenye Ile picha yake.

Ako hapa kutupigia kelele about usafi wakati yeye mwenyewe ni mchafu wa kupindukia if his nails are anything to go by
 
Watanzakundu bana, utaskia wanakwambia Kenya ilibebwa na wazungu wakati 2003 ndio tulianza kuwapa gap 😂
IMG_20240906_135226.jpg
 
Kuna mwingine alikuja Migori kutafuta picha mbovu. Dar slum ingekua mwanamke si mgusi hata na kondom
😂😂😂
Screenshot_2567_0907_164503.jpg
 
Du hawa jamaa mimi binafsi nimesanda hamtawazi kweli wakenya sio poa
Kenyans are crazy 😂😂😂 kumbe tunajadili na wanuka mavi humu ndani.? I thought ni wanasingiziwa tu au ni nongwa za The best 007 Kumbe ni real na wamethibitisha wenyewe.? 😂😂😂ukitawaza na tissue paper + jua kali+ ile minguo Wanayovaa. 😂😂😂 Teargas Fell sorry for you.
 
Viatu vimechovya vumbi 😂😂😂😂 watakua wametembea umbali mrefu sana kwenye vumbi.
Hahahah kuna mjinga mmoja alikuwa anasifia eti Nairobi watu wanatembea fasta fasta bize kujifananisha na western world, hawaelewi wenzao wanalipwa kwa mfumo wa masaa, nyang’au ufasta wote wanaishia uhuru park, mwisho wa siku wanarudi majumbani mwao eti baba katoka kazini. Mafi.
 
Back
Top Bottom