Ndio maana ukitizama mikataba tunayoingia sisi na China ni more favorable kuliko ya Kenya na China.Wivu wa kikunya kaka,hata yale mazoezi ya kijeshi na china juzi kati yaliwaumiza mno kunyan,TZ ni mshirika namba 1 wa china kwa africa,na bado atujipendekezi wala kukopa kwa sana kwao,hamna ambacho tutakitaka kwa china halafubwakatukatalia,hata ile expressway kama ya ukunyan tukiitaka tutaipata tena kwa masharti nafuu,hii opportunity angeipata mkunya tusingelala humu,
Magufuli kipindi yeye waziri wa miundombinu aliwahi kubomoa barabara iliyojengwa na mkandarasi wa China na kuhimiza ijengwe imara.
Embu nambie Mkenya angefanya hivyo!?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂