Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiswahili hawajui na hata lugha yao ya mkoloni hawajui tunawasaidiaje sasa
Fala wewe Asha Rose Migiro aliwahi kuwa UN general secretary miaka 15 iliyopita.
Ndio maana nimetumia neno aliwezaje kuteuliwa.
 
Tatizo la ndugu zetu hawa wamekuwa wakionyesha wivu pale Tanzania inapoonekana kufanya vzr katika mambo wanayotamani wangekuwa wao, ni muda mrefu humu wamekuwa wakikashifu China na kusema sisi ndugu zetu wachina wao ndugu zao wamarekani, lkn leo baada ya kuona China anatoa mpunga na Marekani anatoa maneno wameanza kusema kuwa wao ndiyo wanajuana zaidi na mchina kuliko mtanzania, lkn mchina sio mnafiki, anaonyesha kwa vitendo huko kwenye mkutano.
Kunyan sio ndugu zetu mkuu
 
Kwa akili yako unazani akuna showroom office ya Land Rover na Jaguar Dar es salaam?? 😂 😂
Hakuna franchised dealership wa kuuza Jaguar na Land Rover pekee, bongo slum kuna distributor tu. 🤣 🤣 🤣 Huko mtu akifungua franchised dealership ya JLR atafunga tu ju ya hasara because the market is very small,
 
Hakuna franchised dealership wa kuuza Jaguar na Land Rover pekee, bongo slum kuna distributor tu. 🤣 🤣 🤣 Huko mtu akifungua franchised dealership ya JLR atafunga tu ju ya hasara because the market is very small,
Yaani mtu asiewajua Wakenya akiwasikiliza anaweza kufikiri ni nchi fulani kama Germany,Singapore au Canada kumbe ni mfano mzuri wa third world country. Sasa nyie mna soko gani la maana la LR? Hata kama kuna tofauti na Tz ni ndogo sana. Don't get ahead of yourselves you idiots.
 
Back
Top Bottom