NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Mmmmmae unaona baada ya Kusadia walivyokimbilia kwa dereva wapewe chao ππππ Imagine dereva ndio kwanza umetoka store unapeleka huna kitu utawapa nini rundo lote hilo? π Kupitia Video hii tunapata INDICATORS kibao za hali ya Uchumi ,Maisha na Utu ππππ.
Nina Uhakika ingekua Bongo wangesaidia kunyanua na kuondoka zao. Jionee tofauti.