Bongo tumelewa na muziki na mpira baaaas.Mnafuatilia nini if I may ask?
Bongo tumelewa na muziki na mpira baaaas.Mnafuatilia nini if I may ask?
Unataka tulete ripoti ya Kenya kupokea misaada ya chakula?Tanzania is more hungry than Kenya.
Hata Tanzania wanapokea misaada ya chakula.Unataka tulete ripoti ya Kenya kupokea misaada ya chakula?
Naungana na wewe mkuu, wabongo wengi hawajui kuhusu riadha wala wanariadha wenyewe.Mbongo hawezi fanya hivi.
Ninyi wenyewe na propaganda zenu uchwara.
Most of people bongo huwa hawafuatilii riadha na hawamjui kipchoge.
Lete ushahidi hapa Tanzania ikipokea msaada wa chakula toka WFP.Hata Tanzania wanapokea misaada ya chakula.
Rais WA yanga kakutana na mbape kakutana na Rais wa PSG na husikii kelele😅