President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Now is the time to occupy The East Africa
View: https://www.youtube.com/live/FKvASbVknkA?si=pRCpoapa6TxYMtfI
View: https://www.youtube.com/live/FKvASbVknkA?si=pRCpoapa6TxYMtfI
Mbona huwa unapenda kuingilia story zenye huelewi? Kumbe NairobiWalker huwa anasema ukweli.Hata kama walilipwa hii inaonesha Kenya raia mna maisha magumu kwa raia mmoja mmoja tena yaliyopitiliza.
Kiais mnatanguliza pesa katika kila kitu.
Kwa hapa Tanzania huyo angesaidiwa na watu wasingedai kitu.
Nilichanganya na story ya gari.Mbona huwa unapenda kuingilia story zenye huelewi? Kumbe NairobiWalker huwa anasema ukweli.
My comment was about Kenya Police in Haiti lakini wewe unaireply ukiongelea watu wanaosaidia kusimamisha lory iliyoanguka.
Wewe huwa unaingilia story without knowing where it’s coming from and going. That’s why you are always confused.Nilichanganya na story ya gari.
Kama hutaki kujibiwa toka JF we kalio nini!?
Taja kitu gani niliingilia pasi na kukijua tofauti na hiki!?Wewe huwa unaingilia story without knowing where it’s coming from and going. That’s why you are always confused.
Discussions za NairobiWalker huwa unaingilia bila kujua mwelekeo.Taja kitu gani niliingilia pasi na kukijua tofauti na hiki!?
Unamsemea huyo ambaye akikosa hoja anasingizia sijui mwanzo wa mjadala😬😬😬😬😬!???Discussions za NairobiWalker huwa unaingilia bila kujua mwelekeo.
Gone back to default settings. Sad.I don't need to show that I understand English. Simply put, why should I do it to a nyang’au like you?😎
Anatafutanga attention yangu sana. 🤣 🤣Discussions za NairobiWalker huwa unaingilia bila kujua mwelekeo.
I speak both, but right now I don't feel like conversing in Kiswahili. Can you converse in English?No we speak Kiswahili and you
I see you've understood what I've been trying to tell you all along.Bro wewe kubali hauna fact yeyote.
Na punguza kuropoka.
Tembo toka lini akawa na ukaribu na panya??
Ni ecosystem ipi ulisoma ikawaweka panya na tembo pamoja!?
Bora ungesema tembo na korongo ningekuelewa.
Yes kuna urafiki kati ya China na Tanzania.
Ndio maana uliona kiwanda cha URAFIKI TEXTILE kimeanzishwa Ubungo Tanzania.
Na kilianzishwa kukomaza urafiki kati ya China na Tanzania enzi za Nyerere.
Ndio maana kikaitwa URAFIKI CHINA-TANZANIA TEXTILE.
Bro sio lazima ujulikane kila kitu unajua.
Wewe mweupe kwenye uwanda wa DIPLOMASIA.Kubali uelimishwe.
Mifano uliyoitolea haiendani.I see you've understood what I've been trying to tell you all alone.
🚮 🚮 🚮Mifano uliyoitolea haiendani.
Pia umechanganya urafiki wa kisiasa na kiuchumi na urafiki ama ushirikiano wa kiuchumi.
Kiswahili hujui, Kingereza hujui. 🤣 🤣I see you've understood what I've been trying to tell you all alone.
Nyerere na mao walianzisha hadi kampuni ya meli kati ya china TZ na mpaka leo bado,binafsi uncle's zangu wamezunguka sana dunia na hizo meli ambazo crews wake ni wa TZ na wachina tu,ofisi zipo pale kisutu kwa upande wa TZ,alipoingia mkapa ile kampuni ikaanza kulega lega kwa upande wa TZ,ilianza na meli 4 za bulk carrier sasa hivi walii charter kwa tajiri wa kichina ni kampuni kubwa ilikua inaitwa sinota kipindi chote mpaka serikali ya TZ na china walipoikodisha sasa hivi inaitwa cosco,ni mojawapo ya kampuni kubwa ya meli duniani ila wa TZ wengi hawajui,ofisi zipo kisutu na mpaka leo wa TZ wanafanya kazi kwenye hizo meli,(mabaharia),so ushirikiano wa TZ na china sio wa kimasiharaMaanake ni, you're too poor to be noticed by China. Relationship between you two is simply china helping you , otherwise there's nothing significant China can gain from you. Kiingereza huwa balaa kwenu, omba msaada ufafanuliwe
Utoto unakusumbua ukikua utaacha 🤣 🤣 🤣Bongolalas wa informal economy na car dealerships za mchongo can't relate. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3087955
Mkuu mradi unaolika kirahisi na wanasiasa kenya ni barabara na vi city uchwara kama Tatu, Konza na Railway city hao wakora hawajui chochote jinsi hela inavyopigwa huko ndio maana unaona interchange porini hamna hata gari moja na reli kuishia porini 🤣🤣🤣🤣Nyinyi ni WAtu WA vichekesho ndio maana mambo ya msingi kwenye nchi yanawatoa kamasi, so hapa kulikua na haja gani kujengwa hii overpass, munatumia pesa Vibaya alaf ni za mikopo SASA 😅😅😅😅