ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,261
Loan syndrome 😁😁Ruto Laments in China After Several Credit Ratings Downgrade Kenya Ruto Laments in China After Several Credit Ratings Downgrade Kenya
Hahaha sasa mzee hakuna hata crane moja , kitu gani kinajengwa hapa ? 😀😀😀Wivu 🤣 🤣 🤣
Kenya is a regional powerhouse just like South Africa, Egypt or Nigeria. Kama hakungekua na soko, JLR hawangekua na dealership Nairobi.Yaani mtu asiewajua Wakenya akiwasikiliza anaweza kufikiri ni nchi fulani kama Germany,Singapore au Canada kumbe ni mfano mzuri wa third world country. Sasa nyie mna soko gani la maana la LR? Hata kama kuna tofauti na Tz ni ndogo sana. Don't get ahead of yourselves you idiots.
Hao jamaa brainwash imewaingia vibaya mno,mkenya anaishi kibera ni jobless akiamka asubuhi anapiga koti lake kubwa kama yuko london kipindi cha winter time,atatoka kibera hiyo asubuhi hadi kwenye expressway atapiga picha then arudi zake kibera basi hapo anajiona mzungu 😀Yaani mtu asiewajua Wakenya akiwasikiliza anaweza kufikiri ni nchi fulani kama Germany,Singapore au Canada kumbe ni mfano mzuri wa third world country. Sasa nyie mna soko gani la maana la LR? Hata kama kuna tofauti na Tz ni ndogo sana. Don't get ahead of yourselves you idiots.
Ameambiwa ukihitajika utaitwa. 😂😂😂Ah jiranii...
Watu wame enda China ku make deals kubwa kubwa.. Nabii kaenda China kumpigia kampeni the Perennial looser.. Babaa for Auc..
Na kulia lia apunguziwe riba na muda wa kulipa madeni. Yote anayakosa View attachment 3088427
Blah blah blah mwisho wa siku ni nchi ya dunia ya tatu yenye changamoto zote za dunia ya tatu. Eti regional powerhouse....mkitumia hivyo vi misemo vya Kiingereza tayari mnajiona level za UK, GErmany na akina Sweden huko! Pambaneni kumaliza njaa,magonjwa na umaskini acheni kujidanganya.Kenya is a regional powerhouse just like South Africa, Egypt or Nigeria. Kama hakungekua na soko, JLR hawangekua na dealership Nairobi.
![]()
![]()
![]()
Hiyo nduru huko China alikuwa anapiga kwa kiingereza?Loan syndrome 😁😁Ruto Laments in China After Several Credit Ratings Downgrade Kenya Ruto Laments in China After Several Credit Ratings Downgrade Kenya