Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolalas wa informal economy na car dealerships za mchongo can't relate. 🤣 🤣 🤣

View attachment 3087955
Ukikua utakujua kugundua kuwa wewe ni most stupid person on this planet

1725549747106.png
 
Nyerere na mao walianzisha hadi kampuni ya meli kati ya china TZ na mpaka leo bado,binafsi uncle's zangu wamezunguka sana dunia na hizo meli ambazo crews wake ni wa TZ na wachina tu,ofisi zipo pale kisutu kwa upande wa TZ,alipoingia mkapa ile kampuni ikaanza kulega lega kwa upande wa TZ,ilianza na meli 4 za bulk carrier sasa hivi walii charter kwa tajiri wa kichina ni kampuni kubwa ilikua inaitwa sinota kipindi chote mpaka serikali ya TZ na china walipoikodisha sasa hivi inaitwa cosco,ni mojawapo ya kampuni kubwa ya meli duniani ila wa TZ wengi hawajui,ofisi zipo kisutu na mpaka leo wa TZ wanafanya kazi kwenye hizo meli,(mabaharia),so ushirikiano wa TZ na china sio wa kimasihara View attachment 3087954View attachment 3087956View attachment 3087957
I wonder if the Chinese are also dickriding you this hard..................oh sorry................the average Chinese doesn't even know a country named Tanzania exists.
 
Bongolslum mumejaza car dealership za mchongo. You are not beating this allegation. 🤣🤣🤣

JLR Dealership Kenya.

View attachment 3087994
Mimi huwa sijadiliani trivial issues mdogo wangu. Tumewaambia mtuletee Big and Vital Projects mnajificha mashimoni.

Projects ambazo unatakiwa kuleta:-
  • Marine Transportation
  • Agricultural Projects
  • Electrification of a Country
  • Water Projects
  • Livestock and Fishing Projects
  • Road Construction Projects (BRT etc)
  • SGR Projects
  • Industrial projects

Na mengine yanayoendana na hayo. Zaidi ya hapo wewe utakuwa unaleta hoja za watoto wadogo.
 
Cry harder. 🤣 🤣 🤣
 
Nyerere na mao walianzisha hadi kampuni ya meli kati ya china TZ na mpaka leo bado,binafsi uncle's zangu wamezunguka sana dunia na hizo meli ambazo crews wake ni wa TZ na wachina tu,ofisi zipo pale kisutu kwa upande wa TZ,alipoingia mkapa ile kampuni ikaanza kulega lega kwa upande wa TZ,ilianza na meli 4 za bulk carrier sasa hivi walii charter kwa tajiri wa kichina ni kampuni kubwa ilikua inaitwa sinota kipindi chote mpaka serikali ya TZ na china walipoikodisha sasa hivi inaitwa cosco,ni mojawapo ya kampuni kubwa ya meli duniani ila wa TZ wengi hawajui,ofisi zipo kisutu na mpaka leo wa TZ wanafanya kazi kwenye hizo meli,(mabaharia),so ushirikiano wa TZ na china sio wa kimasihara View attachment 3087954View attachment 3087956View attachment 3087957
Hapo mnapigia mbuzi gitaa.
 
Anaelewa sana ila wivu ndio unaomsumbua
Wewe mtu unamueleza kuhusu urafiki anaanza kuleta judgement ya nini unamuingizia China kuliko USA na Ulaya.
Ukishasema hivyo ushahama upande.
Kuna mahusiano ya kibiashara peke yake,kuna mahusiano ya kijeshi peke yake,kuna mahusiano ya kiutawala peke yake na kuna urafiki wa ushirikiano wa kiutawala,kijeshi na kibiashara kama ulivyo wa China na Tanzania.
Diplomasia mtu hajui.
Akafuatilie muungano wa China na nchi za Asia Pacific ambapo wanafanyaga kikao chao kinaitwa Shang-lari dialogue.
Huo muungano ni sanasana wa kiutawala na kijeshi.
Nchi chache ndio zimesaini ushirikiano wa kibiashara.
 
Wivu wa kikunya kaka,hata yale mazoezi ya kijeshi na china juzi kati yaliwaumiza mno kunyan,TZ ni mshirika namba 1 wa china kwa africa,na bado atujipendekezi wala kukopa kwa sana kwao,hamna ambacho tutakitaka kwa china halafubwakatukatalia,hata ile expressway kama ya ukunyan tukiitaka tutaipata tena kwa masharti nafuu,hii opportunity angeipata mkunya tusingelala humu,
 
I wonder if the Chinese are also dickriding you this hard..................oh sorry................the average Chinese doesn't even know a country named Tanzania exists.
Unaumia ukiwa wapi,kuna nafasi za ajira huku njoo na pasi ya TZ utapata ajira bila wasi
 
Attachments

Back
Top Bottom