NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya.Mzee wa Ndovu na Panya. 😀 😀 😀. Ulinichekiesha sana jana.
Hebu rudia huo msemo wako nicheke tena.
Urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya.Mzee wa Ndovu na Panya. 😀 😀 😀. Ulinichekiesha sana jana.
Hebu rudia huo msemo wako nicheke tena.
Mara ho!! watanzania hawajui kingereza. Sasa hili yai linatoka kwa nani?
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1831308009374376279
Tz ndio mshirika mkubwa wa China 🇨🇳 here in Africa ukitaka ni hivyo usipotaka ni hivyo..Urafiki wa Tanzania na China ni kama wa ndovu na panya.
The surroundings of Talanta ni kama ulaya … now compare that na kile kiwanja cha Mkwanja ..😂😂😂Daily Dose 😎😎😎
![]()
Source by who?? 😅😅😅😅😅
Phase two wanaanza ujenzi wa Jengo la Abiria kubwa na zuri very soon.
Yule Waziri wenu aliekuwa anaongea broken na video iko humu ni high school dropout?Tuseme huyu ndio golden standard wa Kiingereza safi hapo Vumbistan hadi mnamshare? This one would be an average High School dropout in Kenya. 🤣 🤣 🤣