NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Aisee mkienda Ukunyani kuweni waangalifu mnachokula!
View: https://x.com/Mswahili_001/status/1830972974905872451
That's not Kenya you idiot, that's West Africa.
Aisee mkienda Ukunyani kuweni waangalifu mnachokula!
View: https://x.com/Mswahili_001/status/1830972974905872451
Tanzania tuna make deals,ombamba omba huyu hapa 👇👇Unaona kubebwa ufala? Rais wenu akienda ziara ya ombaomba mnasherehekea, huku kwetu tunamkashifu.
😅😅😅😅 wanasubiri ruto mpaka arudi
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830939458272670006?t=f7ywWFDZugyXb9dxQlAYUA&s=19
Barabara ya lami ni moja na imejaa portholes4th biggest city main avenue in utanzakundu 😃View attachment 3086122
-If is not known anywhere mataifa makubwa yaliwezaje kumpigia kura Tulia Ackson kuwa rais wa IPS!??Tanzanian is not known anywhere.
Kama unazungumzia ziara ya China basi ujue Tanzania ni mshirika wa kwanza wa China hapa Afrika.Unaona kubebwa ufala? Rais wenu akienda ziara ya ombaomba mnasherehekea, huku kwetu tunamkashifu.
of kos hawakua happy kama waliopotezwa na CCM bila kuandamanaWale waliouwawa Kwa bullets walikuwa happy? Na tax ziko pale pale 😆😆
"Kenya has never won any battle."
Nyinyi kiingereza ndio hamuelewi. Read and understand the content. Secondly, Nithi bridge ipo mbali sana na Nyanza.Huu Ndo uwezo wao msiwashangae na kilee kizungu mingi…
Mnafuatilia nini if I may ask?Mbongo hawezi fanya hivi.
Ninyi wenyewe na propaganda zenu uchwara.
Most of people bongo huwa hawafuatilii riadha na hawamjui kipchoge.
Nani kasema TPA imefirisikaBandari nzima ya kazi gani wakati hizo gati wamepewa zimeshika 90% ya biashara yote. Jiulize kwanini TPA imefilisika 😂😂
Firisika ❌Nani kasema TPA imefirisika
So hii inasaidia Kenya kuondoa njaa??😅😅The owner of Manchester United with Kipchoge. Kenyans are respected everywhere.
View attachment 3086328
Tanzania is more hungry than Kenya.So hii inasaidia Kenya kuondoa njaa??😅😅